전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
awali, agosti 27, kijana muuza magazeti ally zona aliuawa mjini morogoro wakati polisi walipokuwa wakiwatawanya wafuasi wa chadema waliokuwa wakijiandaa kufanya maandamano.
on august 27, one ally zona was killed in morogoro as police dispersed chadema supporters who were gearing up for a demonstrations.
ben taylor aweka mkusanyiko wa makala zinazohusiana na kuvuliwa madaraka kwa zitto kabwe,mbunge maarufu na kijana wa chama kikuu cha upinzani nchini tanzania, chadema.
ben taylor shares a collection of articles on the sacking of zitto kabwe, a popular young member of parliament with the main tanzanian opposition party, chadema.
baada ya kutoka chama tawala, wanachama wengine kadhaa wa kutoka chama tawala wakiwemo wabunge, madiwani na viongozi wengine wa mikoani nao walihamia kwenye chama kikuu cha upinzani, chadema.
after lowassa’s defection, a number of key members of the ruling party including members of parliament, councilors and regional officials followed him to chadema.
mbunge wa chama cha upinzani cha chadema, mheshimiwa joseph mbilinyi, alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akikabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa usalama wa bunge, tukio lililokuwa la kushangaza na la kuwaacha watu midomo wazi.
an opposition mp joseph mbilinyi of chadema found himself embroiled in a physical altercation with parliamentary security officers that surprised and shocked in equal measure.
gazeti la the citizen lilikuwa kati ya magazeti ya kila siku yaliyoripoti tukio hilo la kusikitisha, likieleza namna polisi walivyotumia bomu la kutoa machozi kukitawanya kikundi cha wafuasi wa chadema (chama cha upinzani):
the citizen was amongst the first of the tanzanian dailies to report about the incident, describing how police used tear gas to disperse a group of chadema (opposition party) supporters:
siku ya alhamis nilihudhuria mkutano wa chadema (chama cha demokracia na maendeleo au party of democracy and development) cha dakta slaa, ambaye ni mgombea mwenye mvuto zaidi kwa upande wa upinzani tanzania bara.
on thursday afternoon i attended a chadema (chama cha demokracia na maendeleo, or party of democracy and development) political rally for doctor slaa, the most popular opposition presidential candidate on the mainland.
kwa mfano, aprili 2011, ezekiel wenje, mbunge wa kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani, chadema aliamsha hasira ya spika anna makinda kufuatia matamshi yake kuwa baadhi ya nyadhifa fulani za serikali zinachaguliwa kupitia “njia za udanganyifu”.
in april 2011, for example, ezekiel wenje, a member of parliament (mp) from the leading opposition party chadema, drew the ire of the speaker anna makinda with his comment that certain government positions are selected via the 'dark market'.