검색어: fainali (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

fainali

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ajentina ilifungwa na ujerumani magharibi katika fainali:

영어

argentina went on to lose to west germany in the final:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tutashangilia kutiririka kwa mawazo kwenye mchezo wa fainali.

영어

we're going to cheer for the free flow of ideas in the final.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mashabiki hao walikuwa wamesubiri kwa hamu mechi hiyo ya fainali kati ya uholanzi na hispania.

영어

being that it was the first time africa was hosting this tournament, people were waiting eagerly for the final match which was between the netherlands and spain.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ajentina inacheza na ujerumani kwenye fainali za kombe la dunia jumapili, julai 13.

영어

argentina plays germany in the world cup final on sunday, july 13.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama nilivyogusia hapo awali, hawa vijana walienda angola kutazama mechi ya fainali kati ya misri na ghana.

영어

as i hinted before the brothers went to angola to watch the final match between egypt and ghana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata kabla ya timu ya taifa hilo kuichapa uholanzi kusonga mbele kwenye fainali za kombe la dunia, ajentina ilikuwa inasherehekea.

영어

even before the national team defeated the netherlands to advance to the world cup final, argentina was celebrating.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mara ya mwisho kwa ajentina kufika kwenye hatua ya fainali za kombe la dunia ilikuwa mwaka 1990, mashindano yalipofanyika nchini italia na ujerumani magharibi ilitwaa kombe hilo.

영어

the last time that argentina reached the final of the world cup was 1990, when the tournament took place in italy and west germany was crowned the champion.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tve (televisheni inayohusika na mazingira) yaonesha video 14 bora za washindani waliofika fainali kwenye shindano la kimataifa la filamu bora ya mazingira.

영어

tve (television for the environment) presents the videos of 14 finalists in its global environmental film competition.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa staili nyingine ya kurudi kwa ushindi dhidi ya kameruni kwenye hatua ya nusu fainali, waliweza kujihakikishia nafasi kwenye mashindano ya dunia, na kuandika historia mpya ya michezo nchini humo.

영어

with yet another comeback-style victory over cameroon in the semifinals, they are also guaranteed a place in the world championships, and in the nation's sporting history.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

je kama tyson gay angefaulu katika kinyang'anyiro cha kupata nafasi kwenye fainali wangefikiria umuhimu wa kurusha matangazo hayo, japokuwa gay angechabangwa vizuri na bolt?

영어

if tyson gay had qualified would they have thought it worthy of carrying, even though gay's butt would have been quite properly whooped by usain bolt?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mujibu wa tovuti ya waandalizi, mashindano hayo ya bloggies ni mashindano ambayo yamedumu kwa muda mrefu zaidi mtandaoni, na mapendekezo, pamoja na uchaguaji wa washindani katika fainali, ni juu ya msomaji wa blogu.

영어

according to the awards website, the bloggies are the web's longest-running blog awards, and the nominations, finalist selection, are up to the blog reader.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

brazili itapokea kitita kisichopungua dola milioni 20 kwa kufuzu kwake nusu fainali ya kombe la dunia, lakini timu hiyo bado ina fursa ya kushinda dola milioni 2 nyinginezo kama itaishinda uholanzi, iliyopoteza mchezo wake dhidi ya ajentina, katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa mashindano hayo.

영어

brazil will receive a minimum of $20 million for its semifinal run in the world cup, but the team still has an opportunity to win an extra $2 million if it defeats the netherlands, who lost to argentina, in the third-place game.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baada ya kushinda dhidi ya uholanzi kwa mikwaju ya penati 4-2 mnamo julai 9, ajentina inasonga mbele kufikia fainali kwa mara nyingine ikipambana na ujerumani siku ya jumapili, julai 13 katika uwanja wa estádio jornalista mário filho,ukifahamika zaidi kama maracanã.

영어

after winning against the netherlands in a penalty shootout 4-2 on july 9, argentina will advance to the final once again and dual germany for the title on sunday, july 13 in the estádio jornalista mário filho, better known as the maracanã.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,791,995,958 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인