전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
imechorwa na federico boyd sulapas dominguez.
artwork by federico boyd sulapas dominguez.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
ifuatayo ni baadhi ya michoro ya federico:
below are some of federico’s paintings:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
malalamiko ya lumad yanaonekana sana kwenye kazi nyingi za federico.
the plight of the lumad is reflected in many of federico's artworks.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
federico boyd sulapas dominguez alipakia mchoro huu wakati wa kuelelekea kwenye kongamano la ushirika wa kiuchumi la asia-pacific linalotarajiwa kufanyika nchini ufilipino.
federico boyd sulapas dominguez uploaded this painting in time for the asia-pacific economic cooperation summit which will be held in the philippines.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kwa kipindi cha miaka 40 iliyopita, msanii wa kifilipino federico boyd sulapas dominguez amekuwa akiandaa picha zinazoonesha harakati za wazawa katika kukomesha uchimbaji madini wa uharibifu, utafutaji maendeleo usiojali haki, pamoja na matumizi ya nguvu za kijeshi.
over the past 40 years, filipino artist federico boyd sulapas dominguez has been painting the efforts of indigenous peoples to combat destructive mining, development aggression, and militarization.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
federico, ambaye ni wa kabila la mandaya (jamii ya wazawa wa lumad kutoka mashariki ya mindanao), anawahamashisha wasanii wachanga kuongeza maaarifa yao kuhusu utamaduni wa ufilipino kwa kujumuika na jamii za wazawa.
federico, who is a mandaya (lumad indigenous people from the eastern part of mindanao), encourages younger artists to enrich their knowledge of philippine culture by integrating with ethnic communities.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: