검색어: gesi ya kuchomelea (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

gesi ya kuchomelea

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

uln alijaribu kuchambua ni nini kilichotokea copenhagen na kuhoji kwa nini nchi zinazoendelea hazikusaini baina yao wenyewe makubaliano ya kupunguza utokaji wa gesi ya ukaa.

영어

uln tried to sort out what had happened in copenhagen and questioned why the developed countries did not sign among themselves a deal for reducing emission.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@flintza: je mnakidhi vipi mahitaji ya nishati ya afrika ya kusini huku mkiwa mnadhibiti nyayo za gesi ya ukaa.

영어

how do you plan to meet sa power needs while limiting our carbon footprint.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"pamoja na maonyo haya, watu wengine bado wanaendelea na ubinafsi, wanakataa kuupokea mfumo wa nishati safi au kupunguza nyayo zao za gesi ya ukaa."

영어

“despite these warnings, some people still continue to be selfish, refuse to switch to cleaner fuels or reduce their carbon footprints somehow.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

globalwarming arclein, blogu inayoandika kuhusu jinsi kilimo kinavyoweza kusaidia kupunguza gesi ya ukaa, inasema kwamba teknolojia ya hali ya chini ya gesi inayotokana na samadi inasababisha gesi hiyo kuwafikia wanepali walio wengi ambao wanaishi vijijini:

영어

globalwarming arclein, a blog on how agriculture can help reduce carbon emission, says that the low tech approach of biogas makes it accessible to the majority of nepalese people who live in villages:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

upakuzi wa mboji iliyotengenezwa hapo baadaye hakuvutii na hauna tofauti na kazi nyingine za namna hiyo. siyo njia inayofaa ya kutengeneza gesi ya kutosha ili kupasha moto nyumba, lakini inatosha kabisa kuongezea moto wa kupikia na kuchemsha maji ya moto kwa njia bora.”

영어

recovery of the produced slurry later is unpleasant but no different than similar tasks attended to.it is not a convenient way to produce enough gas for household heating, but certainly sufficient to support incidental heating for cooking and producing hot water in a healthy way."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

unakabiliana na polisi kila siku, hatari ya kutupiwa gesi ya machozi au hata kufungwa kwa ajili ya kufanya kazi ambayo lazima uifanye - kukutana na wapiga kura hata wakati ambapo uchaguzi ni miaka mitano ijayo au kufanya kazi muhimu zaidi, ile ya kutoa hundi na mizani.

영어

you have to daily face the police, risk being teargased or even locked for doing the job that you must do — meeting potential voters even when elections are five years away or performing the most important function, that of providing checks and balances.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,779,854,179 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인