검색어: hesabu ya mara ilipotazamwa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

hesabu ya mara ilipotazamwa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kila moja ya mara hizo inastahili miaka 7 jela.

영어

each of those times was worth 7 years in jail.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hesabu ya chini ya visa visivyo kali inaweza kusababisha kiwango cha vifo kukadiriwa kupita kiasi.

영어

the under-counting of mild cases can cause the mortality rate to be overestimated.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

upigiaji debe huo ulitiwa saini zaidi ya mara 134,000.

영어

it was signed more than 134,000 times.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

picha hii imechapishwa kwa mara nyingine kwa zaidi ya mara 33,000 mpaka sasa.

영어

this photograph has been retweeted 33k times so far.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nakala ya agiz la kupandisha bei ya mafuta kwa zaidi ya mara mbili nchini misri.

영어

a copy of the order to more than double the cost of fuel in egypt.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tunashughulika pia kudumisha mawasiliano ya mara kwa mara na wafanyakazi wanaoishi nchi ambazo zimeathiriwa pakubwa kwa sasa.

영어

we are also working to maintain regular communications with staff who reside in countries that are currently significantly affected.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

michango ya mara kwa mara haitozwi kodi nchini marekani, na inaweza kufanyika kupitia ukurasa wetu wa kuchagia.

영어

regular donations are tax-deductible in the u.s, and can be made through our donate page.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mujibu wa mwandishi wa habari na mwanablogu mónica oblitas, kiwango hiki ni zaidi ya mara mbili ya wastani wa taifa .

영어

according to journalist and blogger mónica oblitas, this rate is more than double the national average .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, miaka michache iliyopita, mafuriko ya mara kwa mara yalikuwa matukio ya kawaida kwenye jamii hizo zenye amani.

영어

however, a few years ago, periodic floods were part of the lives of these peaceful communities.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hesabu ya asilimia ya wagonjwa wa umri zote waliokuwa na hali sugu za afya ambao hawakulazwa hospitalini, waliolazwa hospitalini bila kuwekwa katika chumba cha kushughulikiwa wagonjwa mahututi icu na waliolazwa hospitalini kwenye chumba cha kushughulikiwa wagonjwa mahututi icu ilipigwa.

영어

the percentages of patients of all ages with underlying health conditions who were not hospitalized, hospitalized without icu admission, and hospitalized with icu admission were calculated.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

zaidi ya mara moja tulijisemea, "je watu hawa watakula wapi usiku wa leo? na siku inayofuata na inayofuata?"

영어

more than once, we said, “but how are people going to eat tonight? and the next day and the next day?”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

matumizi ya mara kwa mara ya vieuzi vilivyo na alkoholi yanaweza kusababisha kukauka kwa ngozi isipokuwa viungo vya emolienti na/au viungo vya kulainisha ngozi viwe vimeongezwa kwenye fomula hiyo.

영어

frequent use of alcohol-based hand sanitizers can cause dry skin unless emollients and/or skin moisturizers are added to the formula.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mchoro huo unaonyesha pia kwamba nchini bolivia, megabaiti moja kwa sekunde inagharimu kati ya mara 6 na 11 zaidi ya inavyokuwa katika nchi nyingine za jirani kama paraguay, nchi ambayo ina eneo dogo sana la ardhi.

영어

it also shows that in bolivia, one mbps costs between 6 and 11 times more than in neighbouring countries including paraguay, also a land-locked country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ili kukomesha mikurupuko ya mara kwa mara ya mers, mwelekeo tondoti unapaswa kuchukuliwa ili kuunda chanjo inayofaa dhidi ya mers-cov kwa ngamia, pamoja na mikakati mingine ya kudhibiti maambukizi.

영어

to stop the recurrent outbreaks of mers, a comprehensive approach should be taken to develop effective vaccines against mers-cov for camels, in combination with other infection control measures.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

diário de classe , ukurasa wa facebook uliofunguliwa na isadora faber, aliye na miaka 13 na anayetokea santa catarina, brazil, tayari umeonyesha kupendwa zaidi ya mara 176,000.

영어

diário de classe , a facebook page created by isadora faber, a 13 year-old from santa catarina, brazil, has already gathered more than 176,000 "likes".

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

mwaka 2013, edom, befeqadu, zelalem pamoja na mimi tulifanya kazi ya pamoja ya kuandaa taarifa ya hali ya uhuru wa kujieleza nchini ethiopia ambayo baadae iliwasilishwa kwenye tume ya umoja wa mataifa ya haki za bidamu kwa ajili ya mapitio yao ya jumla ya mara kwa mara.

영어

in 2013, edom, befeqadu, zelalem and i worked together to produce a report on the state of freedom of expression in ethiopia which later was submitted to united nations commission on human rights for their universal periodic review.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama sehemu ya maambukizi ya visa vilivyopo vya covid-19, tulipiga hesabu ya jumla ya matukio ya covid-19 katika siku 14 zilizopunguzwa, hivyo kuzingatia chanzo asilia ya covid-19, katika kila nchi ya eu/eea na uingereza, katika kipindi cha tarehe 1 januari hadi 15 machi 2020.

영어

as a proxy of the prevalence of active covid-19 cases, we calculated the 14-day truncated cumulative incidence of covid-19 cases, thus taking into account the natural course of covid-19, in each eu/eea country and the uk, during the 1 january–15 march 2020 period.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,778,121,273 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인