검색어: ileile (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

ileile

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

lakini ukweli ni kwamba dunia yetu siyo ileile endapo utaondoka na kwenda mahali pengine.

영어

but the truth is that our earth isn't the same when you move from one place to the other.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yule askari aliwachukua saa ileile ya usiku akawasafisha majeraha yao, kisha yeye na jamaa yake wakabatizwa papo hapo.

영어

and he took them the same hour of the night, and washed their stripes; and was baptized, he and all his, straightway.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

natumaini kwamba juhudi hizo zitaleta matunda, lakini wewe na mimi tunajua kwamba watu wanachoka kuona huzuni ileile tena na tena.

영어

i hope that it makes a difference, but you and i both know that people grow tired of seeing the same sadness over and over again.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakaondoka saa ileile, wakarudi yerusalemu: wakawakuta wale mitume kumi na mmoja na wale wengine waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika

영어

and they rose up the same hour, and returned to jerusalem, and found the eleven gathered together, and them that were with them,

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na mungu. aliishi huko katika hema kama walivyoishi isaka na yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.

영어

by faith he sojourned in the land of promise, as in a strange country, dwelling in tabernacles with isaac and jacob, the heirs with him of the same promise:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

vilevile yeye ni baba wa wale waliotahiriwa; lakini si kwa kuwa wametahiriwa, bali kwa sababu wanafuata njia ileile ya imani baba yetu abrahamu aliyofuata kabla ya kutahiriwa.

영어

and the father of circumcision to them who are not of the circumcision only, but who also walk in the steps of that faith of our father abraham, which he had being yet uncircumcised.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, kama mungu amewapa pia watu wa mataifa mengine zawadi ileile aliyotupa sisi tulipomwamini bwana yesu kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga mungu?"

영어

forasmuch then as god gave them the like gift as he did unto us, who believed on the lord jesus christ; what was i, that i could withstand god?

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: "mtu yule aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa anaihubiri imani ileile aliyokuwa anajaribu kuiangamiza."

영어

but they had heard only, that he which persecuted us in times past now preacheth the faith which once he destroyed.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

baada ya masaa machache, barabara ya almadar, makazi muhimu ya watu wa shia hazara, ilishuhudiwa mauaji makubwa ya kinyama, na tena kwa kutumia mbinu ileile iliyotumika kwenye mlipuko wa asubuhi.

영어

after an interval of only few hours alamdar road, a majorly shia hazara people territory, witnessed another mass massacre, still the same tactic as in the morning -bomb blast.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

huyo baba akakumbuka kwamba ilikuwa ni saa ileile ambapo yesu alimwambia: "mwanao yu mzima." basi, yeye akaamini pamoja na jamaa yake yote.

영어

so the father knew that it was at the same hour, in the which jesus said unto him, thy son liveth: and himself believed, and his whole house.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kero ni ileile katika barabara kuu mbili: ukatili ni uleule kutoka kwa wamiliki wa teksi za njano , hali ni ile ile ya miili ya binadamu kukusanywa kama samaki kwenye magbana mabasi kama teksi, sauti zilezile ziongezazo furaha ya maisha katika jiji langu.

영어

always the same chaos on the two main roads: the same unscrupulous yellow taxis, the same human bodies packed like sardines into magbana taxi-buses, the same familiar noise that animates the life of my capital.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kusema: "aliahidi kwamba atakuja! je, sasa yuko wapi? mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!"

영어

and saying, where is the promise of his coming? for since the fathers fell asleep, all things continue as they were from the beginning of the creation.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,746,592,925 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인