검색어: iliyotokana (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

iliyotokana

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mafuriko hayo yalisababishwa na mvua kubwa iliyovunja rekodi iliyotokana na kimbunga cha ketsana kilichoikumba nchi ya ufilipino mwezi septemba.

영어

the flashflood was caused by a record rainfall unleashed by typhoon ketsana which hit the philippines last september.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

filamu ya danny boyle, slumdog millionaire, iliyotokana na kitabu chenye maudhui ya india imefanya vyema katika sherehe za 81 za tuzo ya academy.

영어

danny boyle's slumdog millionaire, a british social film based on a novel set out in india made a clean sweep at the the 81st academy awards ceremony.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lugha ya ki-galisia inasikika kama vile ni mchanganyiko wa kihispania na kireno, kana kwamba ni lugha iliyotokana na kireno na kuboreshwa na misamiati na lafudhi za kihispania.

영어

the galician sounds like a cross between spanish and portuguese, somewhat like a dialect originated from the second and enriched with vocabulary and accent of the first.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati wanaharakati wa asasi za kiraia wanazungumzia katiba iliyotokana na watu, wanamaanisha katiba nzuri itakayodumu kwa muda mrefu; yenye sheria zinazojibu matakwa ya watu na ile ambayo watu wenyewe wataikubali.

영어

when civil society activists are talking of a people driven constitution, they mean a good document that will stand the test of time; with statutes that meet the aspirations of the people and one that the people themselves will agree to.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

inataarifiwa kuwa watu 500,000 wameshindwa kutoka katika vijiji wanavyoishi huku wakikosa huduma ya umeme, nishati ya gesi pamoja na maji hali iliyotokana na kutanda kwa theluji mwisho wa wiki hii kaskazini mwa nchi ya iran katika majimbo ya, gilan na mazandaran.

영어

500,000 people are reportedly trapped in villages without electricity, gas or water after a massive snow storm this weekend in iran's northern provinces, gilan and mazandaran.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sasa, nyenzo ainisho iliyotokana na utafiti, inayochora ramani ya uathirikaji wa sekta ya kilimo afrika kusini uliotokana na mabadiliko na kugeuka geuka kwa tabia nchi, imeundwa kuwasaidia watengeneza sera kutambua jamii ambazo zimo katika hatari ya kuathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi na kuzisaidia kujiandaa kwa namna tofauti za ukulima.

영어

now, an analytical tool based on a study, mapping south african farming sector vulnerability to climate change and variability, has been developed to help policy-planners identify the communities most vulnerable to climate change and help them prepare for radically different farming conditions.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

umewahi kuiona katiba inayotokana na wanyama, nchi gani kwa sababu kila mtu anazungumzia katiba iliyotokana na watu, ili ukishatengeneza ile iliyotokana na mnyama, labda tumwulize bw. phiri, tukishatengeneza katiba iliyotokana na wanyama, tuweze kuzilinganisha katiba hizo mbili, kile kilichomo ili sasa tuweze kutazama cha kufanya..

영어

have you ever seen an animal-driven constitution, which country because everybody is talking of people driven constitution, so once you produce the animal driven one, let’s ask mr phiri, once you produce the animal driven constitution, we compare the two constitutions, what we have and then we shall look at that.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,787,806,520 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인