검색어: inaonesha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

inaonesha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

video ifuatayo inaonesha mhutasari wa kazi za topos.

영어

the following video shows a summary of the topos' work.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

video hapa chini inaonesha polisi wakiwashambulia waandishi wa vyombo vya habari.

영어

the video below shows the police attacking members of the press.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

twiti moja maarufu inaonesha hali ilivyo kwa kutumia ramani yenye mchoro:

영어

one popular tweet sketches out a rough map of the pyroclastic flow: i spent a nice day by myself hiking to the top of mount ontake

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

picha ya mchoro inaonesha njia ya ndege hiyo na eneo ilikoangukia ndege ya mh17:

영어

this infographic shows the flight path and crash site of mh17:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na tabia ya zamani ya neves inaonesha yapo mengi yanayoweza kutarajiwa katika siku za usoni.

영어

and neves' past behaviors suggest there may be more to come.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuwait inaonesha furaha yake kupitia video iliyobuniwa upya ya wimbo wa pharrell unaofahamika kwa jina la furaha.

영어

kuwait is happy with its very own version of pharrell's happy music video.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kutokuwepo kwa mwitikio wa kimataifa kwenye shambulio la garissa ukilinganisha na lile la charlie inaonesha jinsi dunia isivyojali wengine

영어

lack of international reaction to the #garrisaattack compared to #jesuischarlie shows how little the world cares about #africanlivesmatter — shekhar kapur (@shekharkapur) april 5, 2015

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

majaribio haya mara nyingi hufanyika kwa lugha inaonesha kuwa nia ya watawala hawa kuendelea kubaki madarakani ni kuitikia mwito wa wananchi.

영어

these quests are often couched in language that portrays a leader’s desire for more time in office as a response to popular demands.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

video hii inaonesha uhusiano wa karibu kati ya nguruwe na watu pamoja na madhara kwa jamii kutokana na nguruwe wengi kufa kwa ugonjwa:

영어

the video shows the close relationship between the community's pigs and people, and the social impact of an epidemic that killed large numbers of pigs:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

makala iliyoandikwa na asasi ya electronic frontier foundation inaonesha kuongezeka kwa juhudi za kuwanyamazisha wanaharakati wa mtandaoni pamoja na watumiaji wa jumla wa mitandao hiyo wanaoishi ethiopia.

영어

an article by the electronic frontier foundation shows the increasing attempts of silencing online activists and netizens in ethiopia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kumbukumbu ya harakati za kijeshi katika eneo la kaskazini mashariki mwa naijeria kwa miaka sita iliyopita inaonesha uwezekano mdogo kuwa hakutakuwa na mafanikio yatakayoonekana kwa muda huu wa kipindi cha wiki sita.

영어

the record of the military’s operations in the north east in the last six years offers few indications that the situation will have improved significantly in these weeks.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jaribio la serikali la kuzuia na kulikandamiza kundi hili linalojaribu kuutafuta ukweli inaonesha kwa uwazi kabisa kuwa serikali haitaki watu wazungumzie wala kufahamu hali ilivyo huko koodankulam au kuhusiana na juhudi ambazo watu wanazoziweka na mambo wanayoyapigania.

영어

their attempt to restrict and repress this fact-finding team also clearly shows how they do not want the people to speak out or even knows about the conditions in koodankulam or about the valiant movement the people are fighting there.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@hammads: altaf bhai ndiye aliyekuwa wa kwanza kusitisha hotuba yake na kumuombea imran khan – akifuatiwa na ns, hii inaonesha kupevuka kisiasa # upatenafuuharakaik

영어

@hammads: altaf bhai was the first one to cancel his address and prayed for imran khan - followed by ns this shows political maturity #getwellsoonik

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

repoti ya unesco inaonesha 'udhibiti wa hali juu' wa vyombo vikuu vya habari nchini singapore huku ikizitambua blogu na tovuti za vyombo vyauanahabari mpya kuwa vinatoa "mazungumzo makini mbadala juu ya masuala muhimu ya kisiasa na jamii kama vile siasa za ndani ya nchi, haki za mashoga na wazee."

영어

a unesco report cites the "heavily regulated" mainstream media in singapore while recognizing blogs and other new media sites as offering "alternative discourse on important socio-political issues like domestic politics, rights of gays and senior citizens."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,715,299,960 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인