검색어: inayoonesha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

inayoonesha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ifuatayo ni video inayoonesha kwa kina kile kinachoendelea katika mkakati huu:

영어

here is a video that illustrates the work in process :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

picha za skrini kutoka kwenye video inayoonesha vurugu zilizofanywa na fir wakati walipovamia.

영어

screenshot from the video featuring firs violent intervention.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

george roberts aliweka picha inayoonesha namna ya kipekee ya chadema ya kujitambulisha kwa wapiga kura:

영어

on a lighter note, george roberts shared a photo showing chadema’s unique choice of space for publicity:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanablogu mmoja aliweka video inayoonesha vikosi vya polisi waliokuwa wakifanya uchunguzi kwenye eneo la tukio:

영어

a local blogger posted a video of police forces as they come to investigate the crime scene:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

picha inayoonesha jinsi motto mdogo alivyowashiwa moshi wa kutoa machozi, picha iliwekwa na @14febonline

영어

photo shows how a small child was teargassed, picture published by @14febonline

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ifuatayo ni video inayoonesha tehran iliyochafuka kwa moshi mweusi wakati wa adhuhuri, muda ambao ndege ilikuwa inatua katika uwanja wa ndege wa mehrabad.

영어

here is a video showing a dark polluted tehran at noon as an airplane lands in mehrabad's airport.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

vyombo vya habari vinaonyesha video inayoonesha vifaa vilivyookolewa kutoka kwenye eneo la ajali ya kivuko hicho na vipande vya video zilizotengenezwa na wataalamu wakati wa zoezi la ukoaji.

영어

the media shows footage of devices deployed at the sewol shipwreck scene and clips of experts during the rescue operation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

dola ya kiislam ya nchini iraq na syria imeweka tena hadharani video nyingine ya mauaji ya kutisha inayoonesha kukatwa kichwa kwa mtu anayedhaniwa kuwa ni mwandishi wa habari wa marekani, steven sotloff.

영어

the islamic state in iraq and syria has shared a second gruesome video which allegedly shows the beheading of american journalist steven sotloff.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa jazba na hali ya kukosa imani, mamia ya wakazi wa jiji la jiangmen waliendelea kuandamana na kuingia siku ya tatu ya maandamano tarehe 14 julai wakitaka kupewa hati maalum ya serikali inayoonesha kusitishwa kwa mradi huu.

영어

the government document on the cancellation of the nuclear plant project .with anger and distrust, hundreds of local residents continued to rally on the third day on july 14 demanding a written official document on the cancellation of the project.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

juhudi zinazoendelea za kuondoa ukomo wa madaraka zinaonesha tofauti kubwa kati ya matakwa ya watawala wa afrika dhidi ya matakwa ya wananchi wanaowongoza, hali inayoonesha kuendelea kuwepo kwa hulka ya udikteta barani humo na hivyo kuonesha dalili mbaya kwa demokrasia ya afrika.

영어

continuing efforts to dispense with term limits thus reveal a major disconnect between african leaders and african citizens on this issue, underlining the lingering legacy of big-man rule on the continent and highlighting the fragility of african democracies.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@ahrar_murqoban, ukurasa wa twita uliotolewa maalum kwa ajili ya kupakia habari za kijiji kilichopo sitra, ilipakia video inayoonesha matukio aina hii.

영어

@ahrar_murqoban, a twitter account dedicated to publishing news of a village in sitra, published a video of a similar incident.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hazem barakat aliandaa waraka wa tukio hili la kinyama, aliweka picha za watu walioonekana kutokwa na damu nyingi pamoja na kuweka video inayoonesha shambulio hili (warning: graphic video) mtandaoni.

영어

hazem barakat documented the crime, sharing bloodied photographs and a video of the attack (warning: graphic video) online.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,788,510,264 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인