검색어: itaendelea (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

itaendelea

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kwa kufafanua vizuri zaidi, hali itaendelea kuwa kama awali.

영어

in the best case, it will remain as it is.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

serikali imeihakikishia umma kuwa itaendelea kupokea misaada ya kibinadamu kwa ushirikiano wa karibu na oic na makundi mengine ya kimataifa.

영어

the government has assured the public that it would continue to accept humanitarian aid by coordinating closely with oic and other international groups.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sikuwa mogadishu kwa miaka 20, lakini siku zote mogadishu imekuwa, na itaendelea kuwa nyumbani kwangu."

영어

i was not in mogadishu for 20-some-odd years, but mogadishu has always been, and will always be my home."

마지막 업데이트: 2023-09-26
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kama hali hii itaendelea, ugonjwa huu utaathiri vibaya kizazi kipya, anasema, ambacho ni moja ya vyanzo vikuu vya liberia.

영어

if this continues, the disease will mainly affect the younger generation, he says, which is one of liberia’s great resources.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bora kuna ukosefu wa haki, na kuwepo kwa tofauti kubwa kati ya mijini na vijijini kubaki, harakati ya kiasili itaendelea."

영어

as long as there is injustice, as long as the profound inequalities between the urban and the rural remain, the indigenous movement will continue."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kama hali hii itaendelea, haitashangaza pale vikosi vya ki-mao vitakapoamua kurejea msituni au serikali itakapoweka chaguo maalum dhidi ya wapiganaji wa kikabila.

영어

if the situation continues, it won't be surprising when the moist battalions decide to return jungle or government imposes special op against ethno-political combatants.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hafla ya kitaifa ya maombolezo ya mfalme itaendelea hadi tarehe 23 oktoba, 2012. wananchi wanaweza kutoa heshima yao ya mwisho kwa kufika katika kasri tukufu kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo.

영어

the national mourning ceremony for the king will take place until october 23, 2012. the public can pay their last respects by visiting the royal palace in the next three months.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kesi ya amina tyler, mwanaharakati wa femen raia wa tunisia, ambaye alikamatwa mei 19 baada ya kuchora neno femen kwenye ukuta wa makaburi ya kairouan, kilomita 184 kutoka mji mkuu wa tunis, itaendelea juni 5.

영어

the trial of tunisian femen activist amina tyler, who was arrested on may 19 after she graffitied the word femen on the wall of cemetery in kairouan, 184km from the capital tunis, will resume on june 5.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

afisa kutoka wizara ya kilimo alipuuza ukosoaji huo kwamba ugawaji wa ardhi ‘umeleta athari hasi kwa jamii iliyokuwa ikiishi karibu na mashamba’, akidai kwamba ‘umakini wa pekee umewekwa kuufanya uwekezaji huu usiwe na madhara kwa jamii inayoishi karibu na mashamba hayo na hatua hii itaendelea kwa mtindo ulioimarika’.

영어

he downplayed criticisms that the land leasing has ‘brought negative impacts on the communities who live close to the farms’, claiming that ‘due emphasis has been given to make these investments free of adverse effect on the society who dwell close to them and this would continue in strengthened manner’.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,799,651,937 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인