검색어: jopo (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

jopo

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

serikali ya myanmar inajiandaa kupeleka jopo la wataalam nchini malasia.

영어

myanmar government is preparing to send a team of special representatives to malaysia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

washindi watachaguliwa na jopo la wataalamu katika nyanja ya uhuru wa kujieleza.

영어

winners will be selected by a panel of experts in the field of freedom of expression.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hiyo ndiyo shanghai ilihojiana na jopo la warusi hao kuhusiana na kupanda kwao mnara huu.

영어

that's shanghai interviewed the russian team about their climbing experience.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

washindi walipendekezwa kupitia upigaji kura wa mtandaoni na baadae walichaguliwa na jopo la majaji watano.

영어

the winners were nominated through online public voting and later selected by a panel of five judges.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jopo la dharura la jiji la lanzhou limeshafahamu chanzo cha uchafuzi wa maji na ilishatoa tamko la kukisitisha.

영어

government will offer free safe water】 lanzhou city's emergency team has narrowed down the pollution source and ordered it to be cut off.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

global voices ilipata tuzo ya jopo la majaji katika blogu bora ya pamoja katika lugha ya kiingereza mwaka wa 2005.

영어

global voices took the jury award in the best weblog in english category in 2005.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bernard pivot, mwanachama katika jopo la goncourt, alimshutumu raoult kuwa hafahamu chochote katika uwanja wa fasihi.

영어

bernard pivot, a goncourt jury member, accused raoult of knowing nothing about the literary scene.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuhusu kutokuwepo kwa sata, mwanaharakati brebner changala aliiomba mahakama kuu kulilazimisha baraza la mawaziri kuunda jopo la madaktari kuchunguza afya ya sata na kubaini ikiwa anafaa kuendelea na kazi kama mkuu wa nchi.

영어

in sata’s absence, activist brebner changala petitioned the high court to compel the cabinet to put together a medical board to examine sata and determine his suitability to continue as head of state.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwaka jana, jopo la tuzo hii yenye hadhi walizusha hisia kali pale walipomchagua mwandishi wa kiafghani atim rahimi, kwa kitabu chake cha kifaransa, syngué sabour.

영어

last year, the panel of this prestigious award created a sensation when it chose afghan writer atiq rahimi, for his french language novel, syngué sabour.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jambo hili pia liliwekwa bayana na shirika la kutetea haki za binadamu la amnesty international katika taarifa yake ya mwaka 2003: hukumu zisizo za haki: maumivu katika kusimamia haki (ai index: amr 41/007/2003/). raisi wa klabu ya pen , eugene schoulgin, alimtembelea mwaka 2006; na pia jopo la wanasheria wa haki za binadamu wanamtetea, na tume ya haki za binadamu ya shirikisho ya wilaya (jiji la mexico) ilitoa mapendekezo 12/02 kufuatia uonevu na ukiukwaji wa taratibu wanazozisimamia.

영어

the case was also reported by amnesty international in its 2003 report: unfair trials: torture in the administration of justice (ai index: amr 41/007/2003/), the president of the pen club, eugene schoulgin, visited him in 2006; also the lawyer's committee for human rights defends them, and the human rights commission of the federal district (mexico city) issued a recommendation 12/02 due to torture and violation of his legal guarantees.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,794,830,669 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인