전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
kadi za mialiko
invitation cards
마지막 업데이트: 2024-05-16
사용 빈도: 1
품질:
wengine walitumia mtandao wa wechat kutuma ujumbe ambao baadae ungeandikwa kwenye kadi za karatasi na kuwatumia wanafamilia wa wahanga.
some even used the wechat to send messages to be later written on paper cards and sent to the families of the victims.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
hata hivyo, uamuzi huu haukutokana na sababu kuwa, vyombo vya usalama havikuwa vimejiandaa, lakini ni kwa sababu ya usambazaji wa polepole wa kadi za wapiga kura.
however, this was not because the security agents were unprepared but because of slow distribution of voters’ cards.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
tukio hilo lilihusisha kusomwa kwa mashairi yaliyotungwa na washiriki wenyewe, kuwasha mishumaa ya maombolezo inayoambatana na dakika moja ya kukaa kimya na pia kutengeneza kadi za pole zilizoandikwa kwa anuani za familia za wahanga 147 ambazo zingetumwa nchini kenya baadae.
the event included a reading of original poetry, a candlelight mini-memorial with a minute of silence and also the creation of cards addressed to the families of the 147 victims to be mailed to kenya later.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
ingekuwa rahisi sana kueleweka kama sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi ingekuwa imesababishwa na matatizo ya usambazaji wa kadi za kudumu za wapiga kura (pvc). #bokoharam siyo sababu yenye mashiko#nigeriadecides — ryan cummings (@pol_sec_analyst) february 7, 2015
it would've been an easier sell to postpone elections due to pvc distribution problems. #bokoharam issue nonsensical #nigeriadecides — ryan cummings (@pol_sec_analyst) february 7, 2015
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: