검색어: kama kuna galama zozote utaniambia (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kama kuna galama zozote utaniambia

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

labda tu kama kuna zaidi ya yale tunayoyaona

영어

unless there is more than meets the eye here

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kama kuna mtu anayestahili kuzabwa kibao ni yeye.

영어

and if there is anyone who deserves a hefty slap it is him.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

si kama adui atafika bei –ni kama kuna bei yoyote imetolewa.

영어

it's not if the price is right—it's if there is any price at all.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna taarifa ungependa kutuma kwenye programu hii, unaweza kufanya hivyo hapa.

영어

if you have any posts you would like to submit to the site, you can do it here.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini pia yatunafaa kujiuliza kama kuna malengo ya muda mrefu ya kurudisha kandanda ya kenya mahali pake.

영어

but we ought to ask ourselves if there are any long-term measures to get kenyan soccer on track.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna yeyote anayejitangaza kuwa hamuamini mungu, mtu huyo atakuwa na haki sawa na mwananchi wingine yeyote yule.

영어

if anybody claims to be an atheist, he or she has the same rights as other citizens.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mfano, kama kuna mtu mwenye kesi ambayo haina ushahidi wa maana ili kumpata na hatia, lakini .

영어

say, there is someone whose case lacks any evidence needed to prove guilt, but .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna jambo ambalo sisi wajamaika tunaweza kutarajiwa, ni kufurahia ukweli kwamba tunacho kiwanda cha kutengeneza wakimbiaji kasi duniani.

영어

if it's one thing that we jamaicans can be counted on, it's to enjoy the fact that we have the world's greatest sprint factory.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yeye anasema alipona kwa sababu alijilaza kimya chini ya maiti kadhaa, wakati huo huo wauaji waliendelea kuzagaa pale ili kuona kama kuna aliyekuwa hai bado.

영어

he lived only because he laid still under dead bodies, overlooked by the killers searching the carnage for signs of life.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"kama kuna yeyote anayetakiwa kuelewa thamani ya uhuru wa kujieleza, naibu mkurugenzi wa mawasiliano na utetezi kule licadho ndiye anayepaswa kuwa.

영어

"if anyone should understand the value of free speech, the deputy director of communication and advocacy at licadho seems a likely candidate.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

akiguswa na maendeleo ya uchumi yaliyofanywa na nchi ya rwanda, abramowitz haoni kama kuna dalili yoyote inayoonyesha kuwa kuliwahi kutokea mauaji ya kimbari miaka 15 iliyopita:

영어

impressed by the economic development of rwanda, abramowitz sees no traces of the atrocities experienced 15 years ago:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@arybastacks: sijui kwa nini polisi bado wanaruhusu watu kwenda eneo la tukio...itakuwaje kama kuna mlipuko mwingine?#moiavenueblast

영어

@arybastacks: i don't know why police are still allowing people along the whole moi av. stretch... what if there is a second blast? #moiavenueblast

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kama kuna yeyote aliye na njaa, na ale nyumbani kwake, ili kukutana kwenu kusisababishe hukumu. lakini, kuhusu yale mambo mengine, nitawapeni maelezo nitakapokuja.

영어

and if any man hunger, let him eat at home; that ye come not together unto condemnation. and the rest will i set in order when i come.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa aibu nakubali kwamba sisi tulikuwa dhaifu. iwe iwavyo, lakini kama kuna mtu yeyote anayethubutu kujivunia kitu--nasema kama mtu mpumbavu--mimi nathubutu pia.

영어

i speak as concerning reproach, as though we had been weak. howbeit whereinsoever any is bold, (i speak foolishly,) i am bold also.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna chochote kinaweza kuliangusha kombe la dunia la 2010, na kuwa ushahidi wa kila kisichofaa katika afrika nyeusi (kusini mwa jangwa la sahara), yatakuwa haya mavuvuzela.

영어

if anything is going to bring the world cup 2010 down, and become a symbol of everything that is wrong with the sub-saharan africoon, it will be the damned vuvuzela.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

-kuna mtandao ulijpanga wa ujambazi (uchwara) kwenye soko la mokolo, uwe makini na chochote unachofanya kila mara unapojikuta pale, (mtandao) uliojipanga kwa sababu wanachohitaji zaidi ni fedha zako, na kila mmoja aliye kwenye maeneo hayo anajua wapi unaweza kuupata mkoba wako baada ya tukio, nani ajuye kama kuna zaidi kwenye mpango mzima kuliko kinachoonekana?

영어

- there exist organised (petty) crime in the mokolo market, beware in all you do whenever you find yourself there, organised because all they want is your money, and everyone around knows where you can find your bag after the incident, who knows if there is more to the whole setup than meets the eyes?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,794,830,669 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인