검색어: kama kuna tatizo kesho mapema tutatatua (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kama kuna tatizo kesho mapema tutatatua

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ndiyo, je, kuna tatizo?

영어

yes, is there a problem?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

labda tu kama kuna zaidi ya yale tunayoyaona

영어

unless there is more than meets the eye here

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kama kuna mtu anayestahili kuzabwa kibao ni yeye.

영어

and if there is anyone who deserves a hefty slap it is him.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuna tatizo sugu katika kila janga linapotokea, si tu nchini kenya, lakini mahali kokote.

영어

there was a consistent problem in every disaster that happens, not just in kenya, but everywhere.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kuna tatizo pale ambapo si wanafunzi wala walimu wameandaliwa kubadilika kutoka kiswahili kwenda kiingereza katika shule ya sekondari.

영어

there is a problem when neither students not teachers are equipped to make the switch from swahili to english in secondary school.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nawaza kama kuna siku aliwaza kuwa kuna siku naye angekuwa gerezani kama ilivyo kwa marafiki wake.

영어

i wonder if she ever imagined that she would share a similar fate with them.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna taarifa ungependa kutuma kwenye programu hii, unaweza kufanya hivyo hapa.

영어

if you have any posts you would like to submit to the site, you can do it here.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini pia yatunafaa kujiuliza kama kuna malengo ya muda mrefu ya kurudisha kandanda ya kenya mahali pake.

영어

but we ought to ask ourselves if there are any long-term measures to get kenyan soccer on track.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna yeyote anayejitangaza kuwa hamuamini mungu, mtu huyo atakuwa na haki sawa na mwananchi wingine yeyote yule.

영어

if anybody claims to be an atheist, he or she has the same rights as other citizens.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna jambo ambalo sisi wajamaika tunaweza kutarajiwa, ni kufurahia ukweli kwamba tunacho kiwanda cha kutengeneza wakimbiaji kasi duniani.

영어

if it's one thing that we jamaicans can be counted on, it's to enjoy the fact that we have the world's greatest sprint factory.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna maneno matupu ambayo yanatumika katika hali hii ni ile ya "historia kujirudia yenyewe."

영어

if there is a cliché that applies in this situation is that of “history repeats itself.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

hivi ni sababu gani hasa ya kufanya mtu utafute makosa ya mwenzako, na ni kwa jinsi gani inavyoudhi kama kuna mtu anayejaribu kutafuta makosa yetu saa zote?!

영어

what's the reason for always looking for the other's faults, and how is it disturbing if someone's always observing our faults?!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"kama kuna yeyote anayetakiwa kuelewa thamani ya uhuru wa kujieleza, naibu mkurugenzi wa mawasiliano na utetezi kule licadho ndiye anayepaswa kuwa.

영어

"if anyone should understand the value of free speech, the deputy director of communication and advocacy at licadho seems a likely candidate.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

@arybastacks: sijui kwa nini polisi bado wanaruhusu watu kwenda eneo la tukio...itakuwaje kama kuna mlipuko mwingine?#moiavenueblast

영어

@arybastacks: i don't know why police are still allowing people along the whole moi av. stretch... what if there is a second blast? #moiavenueblast

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sifikiri kama kuna kitu chochote kibaya zaidi ya isis kinaweza kutokea. — the big pharaoh (@thebigpharaoh) february 3, 2015

영어

i don't think anything worse than isis can appear. — the big pharaoh (@thebigpharaoh) february 3, 2015

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa aibu nakubali kwamba sisi tulikuwa dhaifu. iwe iwavyo, lakini kama kuna mtu yeyote anayethubutu kujivunia kitu--nasema kama mtu mpumbavu--mimi nathubutu pia.

영어

i speak as concerning reproach, as though we had been weak. howbeit whereinsoever any is bold, (i speak foolishly,) i am bold also.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama kuna chochote kinaweza kuliangusha kombe la dunia la 2010, na kuwa ushahidi wa kila kisichofaa katika afrika nyeusi (kusini mwa jangwa la sahara), yatakuwa haya mavuvuzela.

영어

if anything is going to bring the world cup 2010 down, and become a symbol of everything that is wrong with the sub-saharan africoon, it will be the damned vuvuzela.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

-kuna mtandao ulijpanga wa ujambazi (uchwara) kwenye soko la mokolo, uwe makini na chochote unachofanya kila mara unapojikuta pale, (mtandao) uliojipanga kwa sababu wanachohitaji zaidi ni fedha zako, na kila mmoja aliye kwenye maeneo hayo anajua wapi unaweza kuupata mkoba wako baada ya tukio, nani ajuye kama kuna zaidi kwenye mpango mzima kuliko kinachoonekana?

영어

- there exist organised (petty) crime in the mokolo market, beware in all you do whenever you find yourself there, organised because all they want is your money, and everyone around knows where you can find your bag after the incident, who knows if there is more to the whole setup than meets the eyes?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,793,999,727 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인