전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
nimesambaza barua za kiofisi
a letter
마지막 업데이트: 2024-08-05
사용 빈도: 1
품질:
nakuelewa. maisha ni tofauti katika sehemu mbalimbali za dunia.
becoming a missionary is certainly going far from our home, but it means also sometimes discovering ways of living, of working, of being christians and religious, not always similar to what we were used to.
kipindi hicho kinawakutanisha akina baba watano maarufu pamoja na watoto wao kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali za nje kwa lengo la kushindana na bila ya uwepo wa wake zao.
the show arranges five celebrity dads and their young kids to fulfill various outdoor tasks in the form of competition without the presence of moms.
au aina mbalimbali za kiingereza ambazo watu wanazipokea na "kuzichanganya tena" na kuzifanya zao wenyewew duniani kote?
or the infinite variations of english that people are adopting and "remixing" to make their own around the world?
kwenye mtandao wa twita; lau alichapisha picha inayoelezea kwa undani aina mbalimbali za unyanyasaji wa jinsia dhidi ya wanawake:
on twitter, lau published an image that explains in graphic detail the different kinds of violence committed against women:
sehemu mbalimbali za dola hiyo, familia za watu wanaoshikiliwa wananing’iniza picha na ishara kama namna ya kushinikiza ndugu zao waachiwe huru.
across the kingdom, families of detainees hung pictures and signs demanding the release of their relatives.
aleshkovsky aliendelea kuelezea ukiukwaji wa taratibu mbalimbali za uchaguzi, kuanzia vitendo vya kuongeza kura za ziada katika masanduku ya kupigia kura mpaka kuondolewa kwa nguvu kwa waangalizi huru.
aleshkovsky went on to describe numerous violations, ranging from extra ballots in voting boxes to the forcible removal of independent observers.
ongezeko hili ni utambulisho wa matokeo ya sauti za raia na vyombo vya habari vinavyofanya kazi kila mahali, hata sehemu zile mabazo zinakabiliwa na upungufu wa vifaa pamoja na changamoto mbalimbali za kijamii kiasi cha kushindwa kushiriki katika mitandao ya intaneti.
this increase is a strong acknowledgement of the impact that citizen’s voices and media are having everywhere, even in places that face material and social constraints to online participation.
amewahi kuandaa matukio mbalimbali likiwemo lile la barcamp transparency huko uingereza majira ya joto yaliyopita kule oxford, ambapo ana matumaini kwamba jambo hilo litafanywa katika nchi mbalimbali za ulaya msimu wa joto wa mwaka huu.
she has organized numerous events including barcamp transparency uk last summer in oxford, which she hopes will be replicated in other european countries this year.
gv pia imekuwa na msukumo kwa jamii mbalimbali za wanablogu duniani ambazo tuna uhusiano rasmi nazo – zaidi ya kuweka viunganishi na kutafsiri baadhi ya makala zao za kwenye blogu katika wakati tofauti tofauti.
gv has also had an impact on various blogging communities around the world with whom we have no formal relationship - other than linking to and translating some of their blog posts from time to time.
huko mashariki mwa paraguay, jumla ya watu 217 wa jumuiya ya wenyeji ya ava guaraní walianza kusumbuliwa wakionyesha dalili mbalimbali za kiafya zinazoaminika zilisababishwa na unyunyiziaji wa makusudi wa dawa za kuua wadudu hasa baada ya wao kuwa wamegoma kuhama kutoka katika ardhi waliyoirithi kutoka kwa mababu zao.
in eastern paraguay, 217 members of the ava guaraní indigenous community recently came down with health symptoms that include nausea and headaches.
dola iliyoweka historia ya taswira ya kung’ara ya kutokuwa na chembe ya doa katika haki za binadamu inaendelea kuwa imara na isiyotikiswa kwa dhahania za uongo na zisizo na maana zinazosambazwa kwa uhasama kupitia vipaza sauti wakati wa dhifa mbalimbali za kitaifa.
the kingdom's impeccable human rights record and bright image remain intact and undistorted by any futile false allegations propagated by hostile megaphones at international functions.
kadiri watu katika sehemu mbalimbali za dunia wanavyozidi kuwa karibu kwa sababu ya teknolojia ya kisasa, na njinsi vikwazo vya kiutamaduni na tofauti ya asili vinavyozidi kuondolewa na kuacha nafasi kwa kuelewana na kuheshimiana; basi ndoa za watu wenye asili tofauti nazo zinazidi kuwa jambo la kawaida.
as people around the world get closer through modern technology, and cultural and racial barriers give way to mutual understanding and respect; and interracial marriages are becoming more common.