검색어: kipato cha wananchi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kipato cha wananchi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

umaskini wa kipato cha chini

영어

utegemezi kwa kujua haki na wajibu

마지막 업데이트: 2019-10-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

• tutengeneze fursa za kujipatia kipato cha juu kwa wote

영어

• create opportunities for higher incomes for all

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

• tuboreshe maisha ya wasingapori wenye kipato cha chini

영어

• improve the lives of lower-income singaporeans

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kipato cha kila siku cha asilimia 43.75 ya wasichaa ni tk.

영어

the daily income of 43.75 % of the girls is tk.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

karibu nusu ya wasichana hawa wana kipato cha kujikimu tu kipatacho kama tk.

영어

almost half of these girls have a measly daily income of tk.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

anawaunga mkono na mamia ya mamilioni kila mwaka kutoka katika kipato cha starbucks, ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa silaha.

영어

he is supporting them with hundred of millions yearly from starbucks' income, and he's one of the major sponsors of their weaponry.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa watu wenye kipato cha chini au wale wasio nacho kabisa, kilimo cha bustani mijini chaweza kuwa sehemu ya suluhisho la kuwa na chakula cha hakika.

영어

for people with low or no income, urban gardening may be the key to food security.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ilifikiriwa kwamba jambo hili huenda litasaida kufanya wanablogu wajipatie kipato cha ziada pamoja na kwamba sicho kitu wanachokisaka kwa udi na uvumba, lakini bado itawapatia wanablogu kifuta jasho.

영어

this, it was noted, would be more effective and would earn bloggers that extra penny which though not sought desperately, would afford bloggers some stipend.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuondoa vikwazo vya uhamiaji, tukilinganisha, kutaweza kuongeza maradufu kipato cha dunia: yaani, ongezeko la kipato cha dunia kwa dola za kimarekani trilioni 60.

영어

eliminating immigration barriers, by comparison, would as much as double world income: that is, increase global gdp by $us60 trillion.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

dira ya kenya 2030 inalenga kuhakikisha wakenya wote wanapata maisha bora katika nchi mpya iliyoendelea kiviwanda na hali ya juu ya uchumi wa kipato cha kati. kenya imefikia hali ya chini ya uchumi wa kipato cha kati, na kuiwezesha kufikia hatua, hasa wakati manufaa ya kiuchumi ya miundombinu muhimu iliyowekwa katika muongo mmoja uliopita yanazaa matunda.

영어

the kenya vision 2030 aims to ensure all kenyans achieve a high quality of life in a newly industrialised country with a higher middle income economic status. kenya has realised a lower middle income economic status, enabling it to reach the take off stage, especially when the economic benefits of the significant infrastructural facilities laid down in the past decade bear fruits.

마지막 업데이트: 2022-02-02
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

inaelekezwa kuwa, mengi ya mapendekezo huru na yaliyo makini yaliyoandaliwa na kamati teule ya singapore- kama yale ya serikali kuweka bayana waundaji wasio na mipaka ya midahalo ya kisiasa, uanzishwaji wa mpango wa kuwasaidia kiuchumi watu wasio na ajira pamoja na kupunguza gharama za bidhaa kwa makundi ya watu wa kipato cha chini hayakutiliwa maanani.

영어

it is instructive that a majority of the more liberal suggestions made by the remaking singapore committee – such as for the government to define the out-of-bounds markers for political debate, creating an economic relief scheme for the structurally unemployed and subsidising the medishield premiums of low-income groups – went unheeded.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama ilivyo upande wa tanzania bara, ilani za uchaguzi, picha na video za mikutano ya kampeni nazo zimetundikwa kwenye tovuti za mgombea urais wa zanzibar wa chama cha ccm dkt. ali mohamed shein na vilevile zile za mpinzani wake mkubwa, maalim seif sharif hamadwa chama cha wananchi (cuf).

영어

similar to tanzania mainland, election manifestos, pictures and videos of the campaign rallies are on display on the websites of the zanzibar’s ccm presidential candidate dr ali mohamed shein as well as on his main opposition contender maalim seif sharif hamad from the civic united front (cuf).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,719,442,270 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인