검색어: kisiwa (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kisiwa

영어

island

마지막 업데이트: 2013-09-30
사용 빈도: 2
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kisiwa cha

영어

stuart

마지막 업데이트: 2021-02-07
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

borneo ni kisiwa kikubwa zaidi barani asia.

영어

borneo is the largest island in asia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kisiwa cha réunion pia kiko kwenye hatari kubwa .

영어

réunion island is also on high alert .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mawio yaliyokileta kisiwa cha robben kwenye magoti yake.

영어

dawn that brings robben island to its knees.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa fulani."

영어

howbeit we must be cast upon a certain island.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

je, sifa ya 'kisiwa cha amani' tanzania imeanza kutoweka?

영어

is tanzania's peaceful reputation in danger? · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kisiwa hicho pia kinafahamika kwa mchanga wa pekee unaounganisha visiwa hivyo viwili.

영어

it is also known for the spectacular sandbank that bridges the two nearby islands.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

idadi kubw aya watu kwenye kisiwa cha hong kong imeendelea kuwepo mtaani siku nzima ya septemba 29.

영어

traffic in hong kong island has remained paralyzed throughout the day of september 29.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

“trinidad na tobago ni kisiwa tajiri na nchi inayoendelea tajiri kwa mafuta na gesi asilia.

영어

"trinidad and tobago is a wealthy small island developing nation rich in oil and natural gas.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

ki-manx, kutoka kisiwa cha man, hapa uingereza kilitokomea na mzungumzaji wake pekee mwaka 1974.

영어

the manx, from the isle of man, here in the uk died with the last native speaker in 1974.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

januari 2, kimbunga bejisa kilisababisha uharibifu mkubwa katika kisiwa cha reunion kilicho chini ya mamlaka ya ufaransa.

영어

cylcone bejisa made landfall on january 2 on the french island of reunion.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika suala hili, jambo hili linaonekana kuwa ni geni pale ambapo mwanablogu kutoka katika kisiwa hiki kuanzisha kampeni za mtandaoni.

영어

in this particular case, the novelty resides in the fact a blogger from the island has initiated an online campaign.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

alizaliwa katika kisiwa kidogo cha montserrat, na kipaji cha alphonsus ‘arrow' cassell hakikuwa kidogo.

영어

born on the tiny island of montserrat alphonsus 'arrow' cassell's talent was anything but tiny.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

basi, barnaba na saulo walipokwisha tumwa na roho mtakatifu, walishuka hadi seleukia, na kutoka huko walipanda meli hadi kisiwa cha kupro.

영어

so they, being sent forth by the holy ghost, departed unto seleucia; and from thence they sailed to cyprus.

마지막 업데이트: 2023-07-03
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

arrow alileta vionjo vya aina yake kwa kaiso (jina jingine la calypso), vilikuwa ni vionjo vya kisiwa cha montserrat.

영어

arrow brought a distinct flavor to kaiso, it was the flavor of montserrat.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

karibu matukio 500 ya moto wa msituni yalirekodiwa katika kisiwa cha sumatra mwezi agosti matukio ambayo yalisababisha vumbi nene kutimka angani riau nchini indonesia na hata katika baadhi ya maeneo ya malaysia.

영어

nearly 500 forest fires were recorded in sumatra island last august which caused a thick haze to descend on riau in indonesia and even in some parts of malaysia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

feri ya korea kusini iliyokuwa inaelekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama mnamo aprili 16, 2014 na mamia ya abiria, ikiwa ni pamoja na wanafunzi 325 wa shule ya sekondari waliokuwemo.

영어

a south korean ferry heading to a resort island sank on april 16, 2014 with hundreds of passengers, including 325 high school students, on board.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

familia ya al khawaja imejikuta ikiwa msitari wa mbele kwenye maandamano ya bahrain, tangu wakati way ale yaliyoitwa mapinduzi ya uarabuni yalipoingia kwenye kisiwa hicho cha ufalme mnamo febrari 14, 2011.

영어

the al khawaja family has found itself at the forefront of protests in bahrain, ever since the so-called arab spring made its way to the tiny island- kingdom on february 14, 2011.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kutokuwepo kwa namna rahisi na ya haraka ya kupata mawasiliano limekuwa si jambo linalozungumzwa sana katika kisiwa hiki, lakini pia mijadala imeshika kasi popote pale waishipo watu wa cuba, na hii ni kutokana na umuhimu wa njia hii ya mawasiliano baina ya ndugu na marafiki.

영어

the improbability of having fast and affordable access to new global telecommunication services has become a popular theme amongst not only those on the island, but anywhere cubans reside, because of the impact it has on relationships with family members and friends.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,777,843,954 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인