검색어: kuhamasisha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kuhamasisha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kuhamasisha na kujihusisha katika mazungumzo

영어

monitoring standard

마지막 업데이트: 2019-11-12
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa hiyo obama, washa uwezo wako wa kuhamasisha.

영어

so obama, turn on your charm.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wao wametumia vyombo vya habari vya kijamii kuhamasisha.

영어

they have used their social media outlets to raise awareness.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakurugenzi wa hospitali walijaribu kuhamasisha wataalamu wa afya kufanya kazi, lakini hawakufanikiwa.

영어

hospital directors tried to mobilize health professionals to work, but to no avail.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nashangaa kama udhalilishaji wa kutumia macho wanafanya kitu kuhamasisha dini ambazo hujiunga na wanawake wabaya.

영어

i wonder if macho violence has something to do with encouraging religions that associate women with evil.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

1.kubuni na kuhamasisha utoaji habari kupitia mtandao zinazohusu nchi yetu zenye ubora na ubunifu wa hali ya juu

영어

1.create and promote high quality online local contents and innovations

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa upande mwingine, wapo watawa wengi tu ambao wanaelewa nafasi ya teknolojia katika kuhamasisha mafundisho ya kidini.

영어

on the other hand, there are many well-behaved monks who understand the role of technology in promoting religious teachings.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuwa na mabadiliko ni tovuti mpya kwa hisani ya civicus kwa watu kushiriki hadithi ya harakati zao wenyewe ili kuhamasisha wengine au kutafuta usaidizi.

영어

be the change is a new website by civicus for people to share stories of their own activism in order to inspire others or seek helping hands.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa nafasi yako kama mamlaka ya kimataifa iliyoaminiwa na wajibu wa kulinda na kuhamasisha mikataba ya ulimwengu ya haki za binadamu zinakupa dhima ya pekee.

영어

your position as the international authority entrusted with the responsibility for the protection and promotion of universal human rights accords you a special role.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@anc_debate: tunatilia maanani kuzuia maambukizi, kuhamasisha matumizi ya kondomu na tabia njema.

영어

@anc_debate: focus on prevention, encourage condom use and responsible behaviour.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

buzzfeed's sheera frenkel pia alizungumzia familia yake kwa juhudi zao ambazo hazikukoma za kujaribu kuhamasisha kuachiwa huru kwa ndugu yao:

영어

the group's latest act prompted a discussion on the depletion of humanity. jordanian photographer amer sweidan summed the views of many in his tweet:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

halmashauri ya jiji la firenze imejitolea kusaidia siku ya mandela na kuhamasisha raia wa florence kujihusisha katika vuguvugu hili la ulimwengu kwa ajili ya kutenda wema kwa kutia sahihi katika makubaliano yanayounga mkono kuwepo kwa siku ya mandela.

영어

the firenze city council has committed to supporting mandela day and encourages all citizens of florence to get involved in the global movement for good by signing a resolution in support of mandela day.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baadhi ya michoro yake tayari imeshasambazwa kwa kiasi kikubwa kwenye mitandao ya kijamii na wanaharakati, wanazuoni pamoja na watetezi wa masuala ya urithi ambao wanalenga kuhamasisha jamii kusaidia jamii ya lumad kupata haki yao.

영어

some of his paintings have been widely shared on social media by activists, scholars, and heritage advocates who are seeking to inspire the public to support the lumad’s right to self-determination.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baadhi ya wanaume na wanawake hawa walikuwa wakifanya kazi na zone9, blogu ya ushirika iliyokuwa inazungumzia masuala ya kijamii na ya kisiasa nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uzingatiaji wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali.

영어

several of these men and women had worked with zone9, a collective blog that covered social and political issues in ethiopia and promoted human rights and government accountability.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

connectas ni mradi usio wa kibiashara wenye mwelekeo wa kiuandishi wa habari wenye lengo la kuhamasisha uzalishaji, ushirikishwaji, mafunzo na usambazaji wa taarifa zinazohusiana na mada ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya bara hilo":

영어

connectas is a "non-profit journalistic initiative with the aim of promoting production, sharing, training and disseminating information related to topics that are fundamental for development in the americas":

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

@eienigeria (imetosha sasa basi naijeria) ni muungano wa wa-naijeria vijana wanaofanya kazi ya kuhamasisha ushiriki wa vijana katika uchaguzi wa mwaka 2011.

영어

@eienigeria (enough is enough nigeria) is a coalition of young nigerians working to mobilise youth towards participation in the 2011 elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ikiwa nchi zitatambua, pima, tibu, tenga, fuatilia na kuhamasisha watu wao katika itikio, alisema tedros adhanom ghebreyesus, mkurugenzi-mkuu wa shirika la afya duniani.

영어

if countries detect, test, treat, isolate, trace and mobilize their people in the response, said tedros adhanom ghebreyesus, the director-general of the who.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

(tukio hili) linaonekana kuwa jema kwetu kwa sababu nyingi (...): umuhimu wa kusoma, uzuri wa kutoa, furaha ya kuachia ulicho nacho na kutokuwa na uhakika wa kujua na kuamini; kuhamasisha ushirikiano na moyo wa kushirikiana kijamii na kiutamaduni, kufungua moyo wako na kuvuka mipaka.

영어

(the event) seems good to us for many reasons (...): the importance of reading, the beauty of giving, the excitement of releasing, and the uncertainty of not knowing and trusting; encouraging solidarity and the spirit of sharing socially and culturally, opening your heart and crossing borders.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,727,273,145 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인