검색어: kuiwajibisha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kuiwajibisha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

siyo tu mustakabali wa atnaf unaowekwa rehani, bali pia ni kwa kila kijana mwenye ari na aliyenuia kuiwajibisha serikali kandamizi kwenye uhuru wa kujieleza.

영어

it is not only the future of atnaf that is on trial but that of every aspiring young man/woman who dares take a repressive government to task on free speech.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kofi adams alisema rawlings anaamini kuna haja ya watu ndani ya chama kuiwajibisha serikali na wateuliwa wake badala ya wapinzani wao kwenye chama cha new patriotic party (npp).

영어

mr. kofi adams said rawlings believes there is need for individuals within the party to hold the government and its appointees accountable instead of their opponents in the new patriotic party (npp).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

pamoja na sheria 41 za mwaka 2011, ambayo kinadharia inawahakikishia raia haki ya kupata taarifa za kiserikali kutoka kwenye taasisi za umma na pamoja na mazungumzo mengi kuhusu kupambana na ufisadi na kuiwajibisha serikali na hitaji la kuanzisha utawala bora ulio wazi , bado hatujaweza kufaidi haki ya kupata taarifa hizo na kushuhudia vita vya kweli kweli vya kupambana na ufisadi.

영어

despite decree 41 of 2011, which theoretically guarantees citizens' right to access administrative documents held by public institutions and despite the multiple talks on fighting corruption and holding the corrupt accountable and the need to establish a transparent good governance , we are yet to enjoy the right to access information and a serious anti corruption battle.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,792,466,381 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인