전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
lakini, kwa mujibu wa eyakuze, ilionekana kuwa, jaji huyo mkuu mstaafu aliamua kutumia njia za giza katika harakati za kutaka kujinasua kwenye mashitaka yaliyokuwa yakimkabili:
but for ms. eyakuze it seemed that the former attorney general had resorted to the dark arts to get himself out of trouble:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
nchi za brazil na uturuki zimetengwa na umbali wa maelfu ya kilomita, lakini zina kitu fulani cha kufanana: nchi zote mbili ziliingia mitaani kudai haki zao kama raia na sasa wanahangaika kujinasua na matumizi ya nguvu na unyanyasaji wa kupindukia unaofanywa na polisi.
brazil and turkey are thousands of kilometers away from each other, but they have something in common: both countries went out to the streets to protest for their rights as citizens and are now struggling against the excessive violence and oppression from the police.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
tupende tusipende, tunapoona taswira ya watu wa somalia ulimwenguni kote, na tukifananisha na hali yetu (angalau, wenzetu waishio nje ya nchi kwa amani), je ni kweli tunahisi kuwa hao kaka na dada zetu wanahitaji katiba inayoweza kuwasaidia hivi sasa kwa kuwa wanahanganika kujinasua na hali mbovu?
whether we like it or not, when we see images of the somali people around the world and we compare our own situation (at least, those in the diaspora that live in peace), do we feel that those brothers and sisters need a constitution that works for them now since they are dealing with horrible situations?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: