검색어: kukawa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kukawa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kurudi kwa simba kukawa kumekamilika.

영어

simba’s comeback was complete.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

huenda kukawa kutoripotiwa kwa kesi vikubwa, hasa kati ya walio na dalili hafifu.

영어

there may be substantial underreporting of cases, particularly among those with milder symptoms.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

sd: yawezekana wakati wote kukawa na kiasi fulani cha hasira dhidi ya watu wa alawite kwa kumuunga mkono assad?

영어

sd: there might always be some anger against the alawites for standing behind assad?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ni mjadala unaotisha ambao smith ameuanzisha katika ngazi moja kwa sababu kuwadhihaki watu katika misingi ya dini au kwa desturi zao za dini ambazo haziwadhuru wengine kunaweza kukawa kama bonde lenye utelezi.

영어

it’s a scary debate that smith has started at one level because vilifying people on religious grounds or for their religious customs that don’t harm others can be a slippery slope.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. walipokuwa wanakwenda zao, paulo alisema jambo hili, "kweli ni sawa yale aliyoyanena roho mtakatifu kwa wazee wenu kwa njia ya nabii isaya

영어

and when they agreed not among themselves, they departed, after that paul had spoken one word, well spake the holy ghost by esaias the prophet unto our fathers,

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kuosha mikono kimatibabu kukawa jambo la lazima muda mrefu baada ya mtaalamu kutoka hungary, ignaz semmelweis kugundua ufanisi wake (mwaka wa 1846) katika kuzuia magonjwa katika mazingira ya hospitalini.

영어

medical hand-washing became mandatory long after hungarian physician ignaz semmelweis discovered its effectiveness (in 1846) in preventing disease in a hospital environment.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tukafanya ivyo kama kwa mwaka mmoja miwili lakini ikawa haina nguvu hawa wa shops walivyokuja ikaendelea lakini haina muhamko mzuri kwasababu huku kwenye jamii ndo tunatengemea ili watuletee wale ambao wana aibu wakifanyiwa tendo ilo baya na ovu maana anafunga mdomo kwasababu anakua anaogopa na anaenda kwenye matatizo na wengine wana ambukizwa hadi magojwa kama ukimwi, kwaiyo mimi mtizamo wangu hili jambo likipata good support na kukawa na wataalamu wakutosha maana sasa ivi tuna wataalamu wachache tutasaidia wengi kwenye jamii, na tukapata wahudumu ngazi ya jamii takapata wataalamu ambao wanauelewa ingetusaidia

영어

here at the shops we needed to set it up but we didn't have a sponsor, for the first time this gender based violence activity started and we were involved with people from the community but the mood didn't grow well about six years back and when we saw the movement was not good we did little and made sure they were well received. a good privacy so that they do not feel bad because most of them do not want to be known because of embarrassment and you find another woman being abused by her husband or

마지막 업데이트: 2021-02-22
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wale wanafunzi wakamwendea yesu, wakamwamsha wakisema, "bwana, bwana! tunaangamia!" yesu akaamka, akaikemea dhoruba na mawimbi, navyo vikatulia, kukawa shwari.

영어

and they came to him, and awoke him, saying, master, master, we perish. then he arose, and rebuked the wind and the raging of the water: and they ceased, and there was a calm.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,749,211,873 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인