검색어: kukwamisha mgawanyo wa mali (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kukwamisha mgawanyo wa mali

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

huo ni mgawanyo wa dhulma!

영어

behold, such would be indeed a division most unfair!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

muhtasari wa mgao wa mali

영어

uncle

마지막 업데이트: 2020-01-12
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

thamani ya maisha ya mtu haiko katika umiliki wa mali.

영어

the worth of a man's life is not in the abundance of possessions. — ramblersinc. (@tee_hidee) december 6, 2013

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nabil omar alilalamikia usimamizi mbovu wa mali asili kama tanzanite:

영어

nabil omar complained about mismanagement of natural resources such as tanzanite:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

akiandika kwa ajili ya lex fori philippines, oscar anasisitiza athari za pendekezo hili kwenye uhusiano wa mali.

영어

writing for lex fori philippines, oscar underscores the impact of this proposal on property relations.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda.

영어

we shall certainly test you with fear and hunger, and loss of property, lives and crops.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

blogu ya maendeleo ya kidunia inayoendeshwa na jarida la uingereza la the guardian inaendelea kuandika habari za kugawa ardhi baada ya kuwekwa wazi kwa taarifa kuu za umma zinazohusu mgawanyo wa ardhi mwezi aprili.

영어

the global development blog of the guardian's (uk) continues its coverage of land deals after the release of the largest public database on international land deals in april.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baadhi ya wamiliki wadogo wa mali hizo huko blantyre wanadai kama kwacha 500 kwa mabango waliyowekwa katika maeneo yao ya biashara ama kazi, imegundulika.

영어

some small scale property owners in blantyre are demanding, at least, k500 for political posters placed in their area of business or enterprise, it has been learnt.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. na wabashirie wanao subiri,

영어

and certainly, we shall test you with something of fear, hunger, loss of wealth, lives and fruits, but give glad tidings to as-sabirin (the patient ones, etc.).

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto.

영어

know that the life of this world is but play and an amusement, and adornment, and a cause for boasting among you, a rivalry for greater riches and children.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakasema: vipi atakuwa na ufalme juu yetu, na hali sisi tuna haki zaidi kupata ufalme kuliko yeye, naye hakupewa wasaa wa mali?

영어

but they replied, "how can he be king over us when we are worthier of kingship than he and he has not even been granted an abundance of wealth?"

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kama kungelikuwa na amani halisi katika ukanda huu wa utaifa, gharama (marafiki zangu wa mali mnisamehe) inaweza kuwa kujinyima amani kwa muda.

영어

if there were to be real peace in this stateless zone, the price to pay (may my malian friends forgive me) might be to renounce peace temporarily.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tuchukulie kuwa ndoa itakwisha muda wake baada ya miaka kumi, ni nini kitachotokea kwenye uhusiano wa mali baada ya miaka 10? uhalali wa mikataba ambayo wanandoa waliingia pamoja?

영어

supposing that marriage will expire in ten years, what will happen to the property relations after 10 years? the validity of contracts entered into by the spouses jointly?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

watu wana hasira na wamechoka, na mashirika ya habari mara nyingi huchapisha habari kuhusu uhusiano kati ya viongozi wa kisiasa na wezi wa mali za umma lakini hakuna anayezungumzia kuingia mtaani kuandamana kupinga ufisadi -hali isiyotarajiwa kwenye nchi ambayo watu hugomea kila kisichokwenda sawa

영어

people are angry and tired, and media houses often publish news about the connection between political leaders and goons but no one takes to the streets to protest corruption – an anomaly for a country where people have nepal bandhs, country-wide strikes for every distress.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

domain.com, eneo la makazi, iliripoti kwamba baadhi ya wauzaji wa mali walitoa karatasi shashi kwa dalali wa kwanza katika mnanda kule melbourne, wakati minada michache ilifanywa kwa sababu ya wanunuzi kupata likizo kutokana na wikendi mrefu wa siku ya leba.

영어

domain.com, a real estate site, reported some property sellers offering free toilet paper to the first bidder on auctions in melbourne, when fewer auctions were held because of buyers having time off on the long weekend of labour day.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua.

영어

know that the life of the world is but a play and a pastime, and an adornment and a self-glorification among you and vying in respect of riches and children; as the likeness of vegetation after rains whereof the growth pleaseth the husbandmen, then it withereth and thou seest it becoming yellow, then it becometh chaff.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,781,870,092 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인