전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
wakajaribu tena kumkamata lakini akachopoka mikononi mwao.
therefore they sought again to take him: but he escaped out of their hand,
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
baadhi ya watu walitaka kumtia nguvuni lakini hakuna aliyejaribu kumkamata.
and some of them would have taken him; but no man laid hands on him.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata yesu akiwa amevaa shuka. nao wakajaribu kumkamata.
and there followed him a certain young man, having a linen cloth cast about his naked body; and the young men laid hold on him:
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
basi, watu wakataka kumtia nguvuni, lakini hakuna mtu aliyethubutu kumkamata kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.
then they sought to take him: but no man laid hands on him, because his hour was not yet come.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
mahakama ya jinai ya kimataifa imetoa agizo la kumkamata omer el-bashir kwa tuhuma za makosa katika vita.
the international criminal court issued an arrest warrant for omer el-bashir on charges of war crimes.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kampeni ya kumkamata #kony2012 iliyoanzishwa na azise ya watoto wasioonekana kwa hakika ilibeba mambo yaliyorahisishwa mno kuhusu afrika.
the #kony2012 campaign led by the invisible children ngo certainly contained a few over-simplifications about africa.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kitabu hiki kinaweza kuwa kiliwakosesha raha baadhi ya watawala kiasi cha kuwalazimu kumkamata mr shadrake kwa kutumia sheria mabayo inatumika kwa nadra sana ya jinai ya kuharibu sifa.
the book might have made those in power uncomfortable enough to arrest mr shadrake on the rarely used draconian charge of criminal defamation.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
habari kutoka kwa waandishi wetu zinasema wakati matangazo ya moja kwa moja yakiendelea wanajeshi walivamia jengo na kumkamata mtangazaji, wageni waliokuwepo na watayarishaji wa kipindi hicho.
reports from our correspondents say this happened during a live broadcast when security forces stormed the building and arrested the presenter, guests and producers.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kampeni kwenye mitandao ya kijamii inayokusudia kuongeza uungwaji mkono wa harakati za kumkamata kiongozi wa waasi wa ki-ganda na mhalifu anayetafutwa kwa udi na uvumba joseph kony imechukua sura nyingine.
a social media campaign to raise support for the arrest of ugandan guerrilla leader and wanted war criminal joseph kony has taken a new twist.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
jijini dakar, wakati kundi la watu wenye hasira linafanikiwa kumkamata kibaka ambaye ametoka kufanya uhalifu, mtu huyo hupingwa kwa mfululizo, na wakati mwingine hujeruhiwa sana na hata kufa.
in dakar, when an angry crowd manages to catch a delinquent that has just committed an infraction or a crime, he is systematically beaten, and is often seriously injured and may even die.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
wizara ya mambo ya ndani ya bahrain imetangaza kumkamata mtumiaji mwingine tena wa mtandao, anayedaiwa kutakiwa kujibu mashitaka ya "kuchochea chuki dhidi ya utawala."
the bahrain ministry of interior announced the arrest of yet another netizen, who reportedly faces accusations of "inciting hatred against the regime."
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
na vidole vyake laini, alichukua samaki wa moto mdogo kwa kumkamata mkiani, akamtosa kwenye bakuli la mchuzi, akamsogeza karibu na midomo yake, akapuliza ili ampoze halafu akammeza wote, kichwa, mifupa pamoja na mkia kama vile mtaalamu wa chakula wa kweli.
with delicate fingers, she picked a small hot fish by the tail, dipped it slightly in a bowl of sauce, brought it close to her lips, blew on it to cool it down then swallowed it all, head, bones and tail like a true gourmet.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: