검색어: kumrithi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kumrithi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

@shopetie_101 alifikiri janet kumrithi rais ni dalili za ulafi:

영어

@shopetie_101 thought janet succeeding the president is a sign of greed:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kundi la mawaziri lilijitokeza katika mkutano na waandishi wa habari usiku wa ijumaa na kutangaza kuwa makamu wa rais banda hataweza kumrithi rais bingu wa mutharika.

영어

a group of cabinet ministers appeared at a news conference on friday night to declare that vice-president joyce banda cannot succeed president bingu wa mutharika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, msemaji wa serikali anasema kwamba hataweza kumrithi mutharika kwa sababu (banda) si mwanachama wa chama tawala.

영어

however, government spokesperson says that she cannot succeed mutharika because she is not a member of the ruling party.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@shopetie_101rais wa uganda,yoweri museveni anatamani mkewe, janet museveni kumrithi...jamani watu weusi na ulafi!

영어

@shopetie_101uganda president,yoweri museveni wants wife,janet museveni to succeed him..black pple n greed!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kabla ya kushinda uchaguzi na kumrithi sata, lungu alifanya uchunguzi wa afya kwenye hospitali ya lusaka trust pamoja na hospitali ya kijeshi ya maina soko, zote zikiwa umbali mdogo tu kutoka yalipo makazi ya rais, ikulu, wilaya ya woodlands jijini lusaka.

영어

just after winning the election to replace sata, lungu underwent medical tests at lusaka trust hospital and maina soko military hospital, both of which are within a short distance from the presidential palace in the woodlands district of the capital city.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mona el tahawy hakupendezwea na jinsi wamisri walivyopamba moto na kuguswa juu ya bikira bandia pamoja na matatizo yote wamisri wanayoyakabili siku hizi – gharama za maisha zinazopanda, rais aliye madarakani kwa miaka 28 ambaye mwanawe anaelekea kumrithi, nk. – kelele zote za nini juu ya bikira, iwe ya kweli au ya bandia?

영어

mona el tahawy did not like how egyptians were hot and bothered over fake hymenswith all the troubles egypt faces these days — spiralling cost of living, a president in power for 28 years whose son looks likely to succeed him, etc. — why all the fuss over hymens, real or fake?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,766,114,211 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인