전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
hadi sasa, cnnc hakijatangaza mabadiliko yoyote kwenye mikakati yake.
so far, the cnnc has not announced any change in its plan.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kwenye orodha ya tovuti maarufu, kuna mabadiliko kadhaa kama unavyoona hapa.
on the websites popularity front, there are a few changes as well.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
wale wasiopenda kupiga kura mara nyingi huzungumzia kutokuridhishwa kwao na utendaji wa kada ya wanasiasa katika miaka mitatu iliyopita, wakitumia hoja kuwa uchaguzi wa mwaka 2011 'hakuleta tija wala mabadiliko yoyote'.
those unwilling to vote often cite their dissatisfaction with the performance of the political class during the past three years, arguing that the 2011 elections 'did not bring any change'.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
watu wanakufa kwa kukosa chakula na njaa kama ilivyokuwa hivi karibuni katika mkoa wa teso, mashariki ya uganda; kuna mabadiliko katika mfumo wa wa maji kama kupungua kwa kina cha maji cha ziwa victoria ; majira yasiyotabirika, kupungua kwa rutuba ya udongo na kupotea kwa uzalishaji wa kilimo na hivyo kuongezeka kwa umasikini wa familia na madhara yake.
people are dying of starvation and hunger like the recent case in teso region, eastern uganda; there are changes in water ecosystems like the dwindling levels of lake victoria; unpredictable seasons, loss of soil fertility and loss of agricultural output and hence increased household poverty and its implications.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: