검색어: kuomba ajira ya polisi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kuomba ajira ya polisi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ajira ya kibinafsi

영어

self employment

마지막 업데이트: 2023-12-01
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

juu ya polisi kuuza slip

영어

up police salery slip

마지막 업데이트: 2023-06-27
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maombi ya ajira ya ulinzi

영어

protection employment application

마지막 업데이트: 2022-04-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

sekretariet ya ajira ya utumishi wa umma

영어

public service recruitment secretariet

마지막 업데이트: 2022-07-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@almonaseron: wanawake walilazimishwa kuendesha mabasi ya polisi.

영어

@almonaseron: women were just forced to ride the buses.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wazo kuu linalowaunganisha ni kuonyesha hasira na mapambano dhidi ya polisi.

영어

a common theme is an expression of anger and confrontation with the police.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uhispania: matumizi ya nguvu ya polisi dhidi ya wanafunzi mjini valencia

영어

spain: police violence against students in valencia

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baade aliruhusiwa kuondoka baada ya polisi anayehusika na habari kukithibitisha kitambulisho chake.

영어

only after a police press officer confirmed his identity inside the van was he allowed to leave.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

huko brazil ghasia zilizuka katika siku ya kupinga rushwa kati ya polisi na waandamanaji:

영어

in brazil violence broke out on anti-corruption day between police and protesters:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

alaa alitiwa kizuizini baada ya polisi kuvamia nyumba yake siku mbili baadaye na kutuhumiwa kuandaa maandamano.

영어

alaa was detained after police stormed his house two days later and accused him of organizing the protest.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

picha za kuteketea kwa magari ya polisi zimetawanyika kwenye mtandao wa twita kuonyesha athari ziliozletwa na waandamanaji.

영어

photos of burnt down police trucks were all over twitter showing the aftermath of the protests.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika miaka michache iliyopita, shutuma za utesaji zimetolewa dhidi ya polisi nchini moroko mara nyingi tu.

영어

over the last few years, allegations of torture have been made against the police in morocco on many occasions.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

majambazi wameweza hata kuyavamia makao makuu ya taifa ya polisi na wizara ya mambo ya nje katika mji mkuu wa yaounde.

영어

bandits even stormed the national headquarters of the police and the ministry of external relations (foreign affairs) in the capital city, yaounde.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini vyanzo vingine ndani ya polisi ya kenya vilianza kugundua kuwa walichokuwa wakipambana nacho ni zaidi ya ujambazi wa kutumia silaha.

영어

but other sources within the kenyan police started to realize that what they were confronting was more than an armed robbery.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

haukupita muda, walizingirwa na zaidi ya magari 30 ya polisi , na na kisha dereva wao kutiwa nguvuni na wote walizuiwa kuondoka.

영어

they were quickly surrounded by over 30 police cars , and their driver was arrested and they were prohibited from leaving.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maandamano yalimalizika saa chache kabla ya polisi kuwatawanya waandamanaji kwa kutumia mabomu ya machozi na polisi waliokuwa wamevaa kiraia walijipenyeza kwenye makundi ya waandamanaji.

영어

this protest lasted a few hours before police dispersed the crowd with tear gas and plain clothed police men infiltrated the ranks of the protesters.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

75% ya wanawake katika ajira ya kiwango cha juu au wenye ujuzi wa juu wamekabiliwa na matukio ya unyanyasaji wa kijinsia wakati fulani katika maisha yao.

영어

75% of women in high level jobs or who are highly qualified have experience sexual harassment at some point in their lives.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

inspekta jenerali wa polisi david kimaiyo kupitia ukurasa wake wa twita(@igkimaiyo) alithibitisha kwamba operesheni ya polisi ilikuwa ikiendelea:

영어

inspector general of police david kimaiyo via his twitter account (@igkimaiyo) confirmed that a police operation was underway:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wanatuambia kwamba mwangosi alikuwa nyololo pamoja na waandishi wengine kuandika habari za chadema kufungua ofisi kijijini hapo, kinyume na amri ya polisi kuzuia shughuli za kisiasa wakati huo wa zoezi la sensa.

영어

they tell us that mwangosi was in nyololo together with several other journalists to report on chadema opening an office in the village, in defiance of police orders against political activities during the census period.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

aquino alihudhuria kuzinduliwa kwa kiwanda kipya cha magari cha kampuni ya mitsubishi huko laguna (jimbo lililo kusini mwa manila) badala ya kuhudhuria mapokezi ya miili ya polisi.

영어

aquino graced the opening of mitsubishi motor corporation’s new car factory in laguna (province south of manila) rather than attend the police ceremony.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,777,941,372 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인