전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
kusimamia miradi ya maendeleo
kukagua miradi mbalimbali inayoendelea kwenye kata ikiwemo mradi wa soko la kisasa
마지막 업데이트: 2023-09-10
사용 빈도: 2
품질:
kufanya ziara kwenye miradi ya maendeleo
kuaga uongozi na ofisi ya utumishi
마지막 업데이트: 2021-11-12
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
rekodi ya maendeleo
to prepare progress report
마지막 업데이트: 2024-04-20
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
idara ya maendeleo ya jamii
wizara ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalum
마지막 업데이트: 2023-07-19
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
ni ishara ya maendeleo kwa mfumo wa elimu yao.
sign of progress in their education system.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mashirika hayo yalitangaza hali nne katika miradi ya serikali:
the organisations declared eight conditions on governmental projects:
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hata hivyo, mradi huu wa maendeleo haukusimamishwa, na miradi ya maendeleo zaidi katika eneo hili inaendelea kubuniwa.
however, this development project was not dropped, and more development projects in this area are coming up.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
cameroon: ndoto za umeme kwa ajili ya maendeleo ifikapo 2035
cameroon: electric dreams for development by 2035 · global voices
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mmoja wapo wa miradi ya namna hiyo ni ebola alert nchini naijeria:
one such initiative is ebola alert in nigeria:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
labda ana matumaini kwamba wale watu wanaounga mkono kila juhudi za mke wa rais basi watahamishia 'usamaria' wao katika miradi ya maendeleo ya karamoja.
perhaps he hopes that the bevy of brown nose humanitarian types who support his wife’s every cause will transfer their ‘goodwill’ to developmental programs in karamoja.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
baadhi ya watumiaji wa twita wamezipokea habari hizi kama ishara ya maendeleo ya sekta ya elimu nchini afganistani.
some twitter users have welcomed the news as an indication of improvements in the afghan education sector.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
yote haya lazima yahusishwe na mahitaji yetu muhimu ya maendeleo ya taifa, kujivunia utamaduni na maendeleo ya kweli.
these must yield to the more urgent demands of true national development, cultural pride and meaningful progress.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kama tunapaswa kutafsiri njia ya maendeleo 'yetu', basi uchaguzi wa lugha lazima uende sambamba na njia hiyo.
if we have to define "our" development path, then the language choice must go hand-in-hand with it.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
gharama ya visa maarufu vya ufisadi nchini kama golden berg, angloleasing, kashfa ya mahindi na mafuta, kashfa ya shilingi kwa dola ni kubwa sana. hebu tafakari kama hizi hela zingetumika kwa kuendeleza miradi ya maendeleo.
the combined cost of kenya’s prominent corruption scandals: goldenberg of the 90’s, anglo-leasing, maize and oil scandals of 2000’s and the dollar/kenyan shilling scandal of 2011 to the kenyan economy is no doubt significant.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
miradi ya ujanja ujanja kama hii itaimarisha mtazamo wa uliosambaa duniani kote kuwa wa-nigeria ni vichekesho tufundoshao kipofu lugha ya ishara.
such white elephant projects will only reinforce the perception of nigeria as a laughing stock of the rest of the world where we like to teach the blind sign language.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
bahati mbaya, kile tunaona tunafanikiwa ni kukuza pengo kati ya matajiri na masikini na kutengwa kwa maeneo ya vijijini kwa maana ya maendeleo ya miundombinu na shughuli za uchumi.
unfortunately, what we see being achieved is the ever widening gap between the rich and the poor and marginalization of rural areas in terms of infrastructure development and economic activities.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
blogu ya maendeleo ya kidunia inayoendeshwa na jarida la uingereza la the guardian inaendelea kuandika habari za kugawa ardhi baada ya kuwekwa wazi kwa taarifa kuu za umma zinazohusu mgawanyo wa ardhi mwezi aprili.
the global development blog of the guardian's (uk) continues its coverage of land deals after the release of the largest public database on international land deals in april.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hata hivyo, hivi karibuni zaidi, nchi za afrika kama zetu, zimefanya mageuzi makubwa ili kuwezesha kubuni biashara na kutoa mazingira mazuri kwa ajili ya maendeleo ya biashara.
however, more recently, african countries like ours, undertake major reforms to facilitate business creation and provide a favourable climate for business development.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
hata hivyo, maandamano ya januari na mei 2013 katika mji wa kibandari wa mtwara yalitoa ishara ya kukosekana kwa imani kuwa matarajio ya benki ya maendeleo ya afrika kutokuwezekana katika maeneo ya vijijini kama yale ya mkoa wa mtwara.
protests in january and may 2013, however, by residents in the port city of mtwara, signal a lack of confidence that the future envisioned by the afdb will also materialise for remote rural areas of tanzania such as mtwara region.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
mapema aprili 2020, dawa 103 zilizoteuliwa zilikuwa zinapimwa kwa wanyama au katika hatua ya maendeleo ya awamu ya i-iv, na matokeo ya majaribio ya dawa 29 zilizoteuliwa kutarajiwa mwezi wa aprili.
as of early april 2020, 103 candidate therapeutics were in preclinical or a stage of phase i-iv development, with trial results for 29 drug candidates expected during april.
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인: