검색어: kuuwa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kuuwa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

dawa ya kuuwa wadudu kwenye mazao

영어

insecticide killed on crops

마지막 업데이트: 2022-10-08
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini asipite mpaka katika kuuwa.

영어

but let him not exceed limits in the matter of taking life (i.e. he should not kill except the killer only).

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa.

영어

and fitnah is greater than killing."

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

lakini asipite mpaka katika kuuwa. kwani yeye anasaidiwa.

영어

but he should not be excessive in killing, for he will be supported.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maji moto ambayo ni sawa kuosha mikono sio moto kutosha kuuwa bakteria.

영어

hot water that is comfortable for washing hands is not hot enough to kill bacteria.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. lakini asipite mpaka katika kuuwa.

영어

and if anyone is slain wrongfully, we have given his heir authority (to demand qisas or to forgive): but let him not exceed bounds in the matter of taking life; for he is helped (by the law).

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. wala hawatoacha kupigana nanyi mpaka wakutoeni katika dini yenu kama wakiweza.

영어

and they will not cease fighting you so that they might make you apostatize from your religion, if they can.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama vile sabuni, jivu pia ni bidhaa ya kuuwa viini kwa sababu ikichanganywa na maji, hutengeneza mchanganyiko wa alkalini.

영어

like soap, ash is also a disinfecting agent because in contact with water, it forms an alkaline solution.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa.

영어

and fight those (who fight you) wheresoever you find them, and expel them from the place they had turned you out from.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa sababu ya hayo tuliwaandikia wana wa israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote.

영어

because of that, we decreed upon the children of israel that whoever kills a soul unless for a soul or for corruption [done] in the land - it is as if he had slain mankind entirely.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, ufanisi wa chanjo hizi kwa watu wazee na miundo ya viwango vyao kuuwa virusi na ulinzi wa dhidi ya virusi vinavyotokana na wanyama bado haujabainishwa kabla utafiti wa kimatibabu uanzishwe.

영어

however, the in vivo efficacy of these vaccine candidates in elderly individuals and lethal-challenge models and their protection against zoonotic virus infection have yet to be determined before a clinical study is initiated.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuongeza haidrojeni peroksaidi iliyoyeyushwa huzidisha shughuli ya kupambana na uchafu.vieuzi vya mikono vilivyo na angalau 60 hadi 95% ya alkoholi hufaa katika kuuwa viini.

영어

adding diluted hydrogen-peroxide increases further the antimicrobial activity.hand sanitizers containing a minimum of 60 to 95% alcohol are efficient germ killers.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuongezeka kwa matumizi ya viowevu hivi yanatokana na urahisi wa kutumika kwake na shughuli ya kuuwa viini haraka, hata hivyo, havpaswi kutumika kama njia mbadaya ya kuosha mikono isipokuwa iwapo sabuni na maji hazipatikani.

영어

the increasing use of these agents is based on their ease of use and rapid killing activity against micro-organisms; however, they should not serve as a replacement for proper hand washing unless soap and water are unavailable.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa sababu ya hayo tuliwaandikia wana wa israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote.

영어

because of that we ordained for the children of israel that if anyone killed a person not in retaliation of murder, or (and) to spread mischief in the land - it would be as if he killed all mankind, and if anyone saved a life, it would be as if he saved the life of all mankind.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini kuzuilia watu wasende katika njia ya mwenyezi mungu na kumkanusha yeye, na kuzuilia watu wasende kwenye msikiti mtakatifu na kuwatoa watu wake humo, ni makubwa zaidi mbele ya mwenyezi mungu. na fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa.

영어

but a greater sin in the eyes of god is to hinder people from the way of god, and not to believe in him, and to bar access to the holy mosque and turn people out of its precincts; and oppression is worse than killing.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

binafsi, sikuwahi kuelewa ni kwa nini wafuasi wengi wa dini yangu wako radhi sana kuuwa au kuwajeruhi hadi kuwaachia ulemavu wa kudumu wale ‘wanaokashifu’ uislamu, nabii muhammad au kurani.

영어

personally, i've never quite understood why so many of my co-religionists are so keen to kill or maim those who 'insult' islam, prophet muhammad or the quran.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hong kong imeweka mpango ambapo watu wanaoshukiwa kuwa wagonwa wanaweza kukaa nyumbani, "idara ya dharura itampa mgonjwa chupa cha sampuli", atatema mate ndani yake, kuirejesha na kupata matokeo ya vipimo baada ya muda.nhs ya uingereza imetangaza kwamba inafanya majaribio ya kupima watu wanaoshukiwa kuwa wagonjwa wakiwa nyumbani, jambo linaloondoa hatari ya mgonjwa kuambukiza wengine wakija hospitalini aukulazimika kuuwa viini kwenye ambulensi ikiwa ilitumika na mgonjwa.katika vipimo vya covid-19 kwa visa vinavyoshukiwa, mtaalamu wa afya huchukua sampuli kwa kutumia tahadhari zinazofaa.

영어

hong kong has set up a scheme where suspected patients can stay home, "emergency department will give a specimen tube to the patient", they spit into it, send it back and get a test result a while after.the british nhs has announced that it is piloting a scheme to test suspected cases at home, which removes the risk of a patient infecting others if they come to a hospital or having to disinfect an ambulance if one is used.in drive-through testing for covid-19 for suspected cases, a healthcare professional takes sample using appropriate precautions.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,788,264,812 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인