검색어: kuwawezesha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kuwawezesha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kwa hiyo kwake kuruhusu “wamachinga” ni kuwawezesha wa-zambia.

영어

hence to him allowing street vendors is empowering zambians.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

washitakiwa 51 walihudhuria mashitaka hayo mahakamani kwa sababu hapakuwa na sehemu ya kuwawezesha wote kusimama mahakamani kwa wakati mmoja.

영어

only 51 defendants attended the trial because the space could not hold more defendants.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika wiki za hivi karibuni global voices imeendelea kuwakilisha kwa wasomaji wake mifano zaidi ya jinsi uanahabari wa kiraia unavyotumika kuwawezesha wakimbizi na watu wasio na makazi.

영어

this post is part of our special coverage on refugees. in recent weeks global voices has presented to its readers more examples of how citizen media is used to amplify the voices of refugees and displaced people.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kadhalika, maabara ya fikra ya pbs inaangalia ushirikiano wa al jazeera na ushahidi katika kuwaunganisha na kuwawezesha wasomali waliotenganishwa na vita pamoja na ukame:

영어

indeed, pbs' idea lab takes a look at an al jazeera and ushahidi collaboration to connect and empower somalis separated by conflict and famine:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

i paid a bribe ni njia mojawapo inayotumiwa na wanaharakati dhidi ya ufisadi nchini, kwa kutumia teknolojia mpya ili kuwawezesha kupata ripoti za utoaji wa hongo.'

영어

i paid a bribe is an initiative of kenyan anti-corruption activists fighting corruption in kenya using the new technologies to crowdsource corruption experiences.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ujuzi wa solana umemsaidia kumudu vyema majukumu ya uhariri wa global voices katika kipindi ambacho uandishi wa habari ulishuhudia blogu na mitandao ya kijamii vikigeuka kuwa majukwaa muhimu kuwawezesha wananchi wa kawaida kusema mawazo yao.

영어

solana's deft handling steered global voices' editorial through a rapidly shifting media landscape that saw blogging eclipsed by social networks as the primary platform for citizen expression.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"na sasa basi, ninawaweka ninyi chini ya ulinzi wa mungu na ujumbe wa neema yake. yeye anao uwezo wa kuwajenga ninyi na kuwawezesha mzipate zile baraka alizowawekea watu wake.

영어

and now, brethren, i commend you to god, and to the word of his grace, which is able to build you up, and to give you an inheritance among all them which are sanctified.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kila picha iliyowekwa katika alama ishara hiyo ya twita hutwitiwa tena (retweeted) na mamia ya watumiaji wa twita, kuwawezesha wapiga picha hao kupata hadhira kubwa zaidi.

영어

every photo shared under this hashtag is retweeted by hundreds of twitter users, giving the photographers a very wide audience.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

umuhimu wa mijadala hii ya mtandaoni itakuwa kuwawezesha raia kuchangia mawazo katika sera na maamuzi ya bunge na serikali kwa ujumla na kutengeneza jukwaa kwa mijadala ya masuala ya msingi inayoendeshwa na raia wenye uelewa wa masuala ya kisiasa, watawala katika jamii na wataalam na hivyo kuliwezesha kundi kufinyanga wazo linaloweza kutumika katika ufikiwaji wa maamuzi ya serikali.

영어

the essence of these online debates shall be to enable citizens make input into parliamentary and government’s policy and decision-making and provide a fora for issue-based discussion by politically-minded citizens, leaders in our communities and experts thus enabling the group to mold an opinion and influence decision-making.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ilhali kampeni la kony 2012 hakika limepata usikivu lililotaka, waganda na waafrika wengi wanaona kwamba ujumbe wake umekosa muktadha na maelezo sahihi kuhusu joseph kony. zaidi ya hiyo, kampeni lenyewe lilijishughulisha na kuchanga pesa kwa shirikisho lililoanzisha kampeni lenyewe badala ya kuwawezesha watu walioathiriwa na vita hivyo kujiendeleza.

영어

while the kony 2012 campaign certainly received the attention it sought, many ugandans and africans felt its message lacked the nuance required by context, and was more focused on raising funds for the organisation's own survival rather than empowering the people affected by the conflict.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika miezi sita ya kwanza ya 2015 pekee, marais wa burundi, benin, congo (drc), na rwanda wamejaribu ama wao wenyewe au kwa kuwatumia wafuasi wao, kuonesha nia ya kuondoa ukomo wa mihula ya utawala ili kuwawezesha kupata muhula mwingine madarakani.

영어

in the first six months of 2015 alone, the presidents of burundi, benin, the democratic republic of congo, and rwanda have either personally or through their supporters expressed the intention to dispense with or circumvent term limits in order to seek additional terms of office.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,800,220,541 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인