검색어: kwa roho wangu wote (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kwa roho wangu wote

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ninakupa upendo wangu wote

영어

i want to be with you forever

마지막 업데이트: 2023-03-15
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na kwa moyo wangu wote natumaini ataiweka marekani katika njia ya kupona.

영어

and with all my heart i hope he puts america on the path to recovery.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa hiyo, nitajipanga kuelekeza maarifa na uwezo wangu wote ili kuisaidia nchi.

영어

therefore, i'll concentrate in exerting all my knowledge and ability to help the country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nataka nikuambie mimi nakupenda na moyo wangu wote lala salama

영어

i love you with all my heart sleep safe

마지막 업데이트: 2022-05-26
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika yerusalemu mmejaza mashemasi yenu kwa roho takatifu

영어

in jerusalem you filled the deciples with the holy spirit

마지막 업데이트: 2023-10-02
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, na waumini, siku ya kusimama hisabu.

영어

and forgive me, and my parents, and all the muslims on the day when the account will be established.”

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mola wetu! unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, na waumini, siku ya kusimama hisabu.

영어

"o our lord! cover (us) with thy forgiveness - me, my parents, and (all) believers, on the day that the reckoning will be established!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa roho.

영어

that which is born of the flesh is flesh; and that which is born of the spirit is spirit.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hao ameandika katika nyoyo zao imani, na amewapa nguvu kwa roho itokayo kwake.

영어

for such he has written faith in their hearts, and strengthened them with a spirit from himself.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na tukampa isa, mwana wa mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa roho takatifu.

영어

and we gave 'iesa (jesus), the son of maryam (mary), clear signs and supported him with ruh-ul-qudus [jibrael (gabriel)].

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hapo nilikumbuka yale maneno bwana aliyosema: yohane alibatiza kwa maji, lakini ninyi mtabatizwa kwa roho mtakatifu.

영어

then remembered i the word of the lord, how that he said, john indeed baptized with water; but ye shall be baptized with the holy ghost.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hao ameandika katika nyoyo zao imani, na amewapa nguvu kwa roho itokayo kwake. na atawaingiza katika mabustani yapitayo mito kati yake.

영어

[for] such, he has written faith into their hearts and strengthened them with a spirit from him.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ninyi mlifuata mfano wetu, na kumwiga bwana. ingawa mliteswa sana, mliupokea ujumbe huo kwa furaha itokayo kwa roho mtakatifu.

영어

and ye became followers of us, and of the lord, having received the word in much affliction, with joy of the holy ghost:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa roho takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani.

영어

"o 'iesa (jesus), son of maryam (mary)!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

wewe ni mmoja tu nataka mtoto, wewe kufanya mimi furaha na kila kitu ! wewe ni upendo wa maisha yangu, rafiki yangu bora na mume wangu wote katika moja, wala milele kusahau kwamba mtoto.

영어

you’re the only one i want baby, you make me happy and everything ! you’re the love of my life, my bestfriend and my husband all in one, don’t ever forget that baby.

마지막 업데이트: 2022-10-16
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maana, ingawa mimi niko mbali nanyi kwa mwili, lakini niko pamoja nanyi kwa roho, na ninafurahi kuona uthabiti kamili mnaosimama nao pamoja katika imani yenu kwa kristo.

영어

for though i be absent in the flesh, yet am i with you in the spirit, joying and beholding your order, and the stedfastness of your faith in christ.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maana sisi, tukiwa wayahudi au watu wa mataifa mengine, watumwa au watu huru, sote tumebatizwa kwa roho mmoja katika mwili huo mmoja; na sote tukanyweshwa roho huyo mmoja.

영어

for by one spirit are we all baptized into one body, whether we be jews or gentiles, whether we be bond or free; and have been all made to drink into one spirit.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hapo yohane akawaambia wote, "mimi ninawabatiza kwa maji, lakini anakuja mwenye uwezo zaidi kuliko mimi ambaye sistahili hata kumfungulia kamba za viatu vyake. yeye atawabatizeni kwa roho mtakatifu na kwa moto.

영어

john answered, saying unto them all, i indeed baptize you with water; but one mightier than i cometh, the latchet of whose shoes i am not worthy to unloose: he shall baptize you with the holy ghost and with fire:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

narudia: najua kwamba mtu huyo alinyakuliwa mpaka peponi. (lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; mungu ajua.)

영어

and i knew such a man, (whether in the body, or out of the body, i cannot tell: god knoweth;)

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

na humo tuliwaandikia ya kwamba roho kwa roho, na jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na sikio kwa sikio, na jino kwa jino, na kwa majaraha kisasi. lakini atakaye samehe basi itakuwa ni kafara kwake.

영어

and in the taurat, we made it obligatory upon them that, “a life (is the retribution) for a life, and an eye for an eye, and a nose for a nose, and an ear for an ear, and a tooth for a tooth, and for wounds is a retribution”; then whoever willingly agrees to retribution, it shall redeem him of his sin; and whoever does not judge according to what is sent down by allah – it is they who are the unjust.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,795,022,150 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인