검색어: kwaherini ya sasa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kwaherini ya sasa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

maneno ya sasa ya utafutaji

영어

kila jambo linawakati wake muhimu kupambanau

마지막 업데이트: 2022-03-12
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hiyo ndiyo hali ya sasa, tunachotaka ni mabadiliko.

영어

that is the present situation but we look for a change.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hatuwezi kudharau umuhimu wa marekani katika hali ya sasa ya irani.

영어

we can not ignore the importance of usa for iran's current situation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hotuba zinazotoka moyoni kuhusu mambo ya halisi yanayoikabili dunia yetu ya sasa?

영어

speeches from his heart about the realities of our current world?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

masuala ya sasa kuhusu covid-19 katika nchi za eu/eea na uingereza

영어

trends of covid-19 in eu/eea countries and the uk

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

naam pendekezo hili linataka kutatua hali ya sasa ambayo wanandoa wengi wa kifilipino wanakabiliwa nayo siku hizi.

영어

well this proposition just want to address the present situation that most of the filipino couples are facing nowadays.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kampeni hiyo ilitafuta pia kujulisha na kukuza uelewa wa masuala na vikwazo vinavyotokana na hali ya sasa ya mtandao.

영어

the campaign is also seeking to inform and raise awareness on the issues and limitations of the current connectivity conditions.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tutaanza mchakato na idara zote ili tutathmini malengo ya sasa na tuweze kulenga kuunga mkono kile ambacho ni muhimu kwa misheni yetu.

영어

we’ll begin a process with all departments to assess current objectives and shift our focus to supporting what’s essential for our mission.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

afra raymond anasema kwamba mipango ya sasa ya serikali kwa serikali ni tisho la moja kwa moja kwa masilahi ya msingi ya trinidad na tobago.

영어

afra raymond says that the current government to government arrangements are a direct threat to trinidad and tobago’s fundamental interests.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

from the old pia anaandika juu ya kauli nyingine, hii ya sasa ni ya awb, na kudai kuwa mauaji yalikuwa ya kisiasa:

영어

from the old also covers another statement, this time by the awb, claiming the murder was political:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

data hizi zilitumika kwa kutathmini masuala ya sasa ya covid-19 katika eu/eea na uk, kwa kuzilinganisha na za italia.

영어

these data were used for assessing the trends of covid-19 in eu/eea and the uk, and comparing them to that in italy.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, ishara za matumaini zimetokea nchini china kwa msingi wa kupungua kwa idadi ya visa vipya, hii ikionyesha kwamba mikakati ya sasa huenda imekuwa ikifanya kazi.

영어

however, promising signs have occurred in china based on the declining number of new cases, indicating the current strategies might have been working.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

jambo hili linaashiria kwamba wafanyakazi vijana wanapojitolea sadaka baadhi ya malipo kwa ajili ya kupata mtindo fulani wa maisha usioyumba hapo baadae, kwa kweli hawaishii kupata thamani inayostahili katika hali ya sasa ya maisha.

영어

this indicates that when young workers sacrifice some pay for a stable lifestyle in the future, they do not get as much value in the current state of affairs.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

africa festival web ni jukwaa la kubadilishana uzoefu miongoni mwa wataalam, wapenda mtandao na watu wajifunzao mambo mapya kutoka duniani kote, ambako hali ya sasa ya mambo kwenye ukuzaji wa mtandao itajadiliwa.

영어

the africa festival web is a platform for exchanges between experts, web enthusiasts and novices from around the world, where the current state of the affairs in the field of web development will be discussed.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama ilivyokuwa kwenye machafuko yaliyopita, mapambano ya sasa huko jos yamekuwa yakipiginwa katika misingi ya kidini – jos ipo kwenye mpaka kati ya kaskazini ya naijeria yenye waislamu wengi na kusini kwenye wakristu wengi.

영어

like the previous riots, the current conflict in jos has been fought along sectarian lines – jos lies on the border between nigeria's muslim-majority north and christian-majority south.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

misri inahitaji japo ushindi wa magoli mawili ili kulazimisha mchezo wa kukata shauri katika uwanja wa nchi nyingine ambapo algeria, ambayo imeshindwa kufaulu kwenda kombe la dunia tangu 1986, itapambana ili kutunza nafasi yake ya sasa ya kuongoza katika kundi la wanaogombania nafasi ya kufaulu.

영어

egypt needs at least a two-goal win to force a playoff on a neutral ground while algeria, which has failed to qualify to the world cup since 1986, will battle to keep its current leading position in the qualifiers group.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini bado zinatupa picha ya kirigistani inayohitaji tuitazame vema - siyo sasa tu, lakini katika miezi na miaka inayokuja, huku tukizama nyuma katika matukio ya sasa hivi na kuunganisha vipande vipande ili kupata picha kamili ya ya kile hasa kilichotokea.

영어

but it is giving us a view of kyrgyzstan that demands our attention — not only now, but in the months and years to come, when we look back on these events and try to piece together what happened

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

#mh17 @1mindef : mikakati yetu ya sasa ni kutaka kujua- 1) ndege ile ilingushwa? na kama ndivyo, 2) iliangushwaje? 3) na nani?

영어

#mh17 @1mindef : our immediate priority - 1) was d plane brought down? if so 2) how ? 3) who ?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,747,324,501 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인