검색어: madiba (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

madiba

영어

madiba

마지막 업데이트: 2013-12-22
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa heri, madiba.

영어

farewell, madiba.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

buriani, mpendwa madiba. #mandela

영어

farewell, dear madiba. #mandela

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini...?#madiba

영어

what were you doing...? #madiba — 46664 _bar__bar_ just pets (@wildeji) december 6, 2013

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nasikitika ajabu kwa habari ya kufariki kwa madiba.

영어

i feel strangely sad at the news of madiba's passing.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

alikuwa hamasa kwa watu karibu kila nchi ya dunia #madiba

영어

a source of inspiration for people in almost every country of the world #madiba — bmc! (@ba55ey) december 6, 2013

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nimekaribia umri ambao #madiba alikuwa nao wakati anawekwa gerezani.

영어

writer and blogger nze sylva ifedigbo shared a post from his blog:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

itakuwa safari ndefu kwa watawala wengi wa afrika kurithi tunu ya asili ya #madiba.

영어

would b a "long walk" 4 many african leaders to "inherit" the values essence of #madiba.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

madiba alisema katika safari yake ya mwisho kabisa ya kimataifa kule landani, uingereza, mwezi juni 2008:

영어

madiba said on his last ever international visit in london, june 2008:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa miaka 16 iliyopita, raia wa afrika ya kusini wamekuwa wakisherehekea siku kuu hii ya kuzaliwa madiba kwa shauku na hamasa motomoto.

영어

for the past 16 years, south africans have been celebrating madiba’s birthday with fervor and enthusiasm.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uamuzi ulifikiwa kwamba kusingekuwa na namna nyingine iliyo bora zaidi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa madiba kila mwaka zaidi ya kuwa na siku ambayo itatengwa maalumu kumkumbuka kwa kazi aliyofanya maishani mwake na kwa shughuli za asasi yake ya hisani na kuhakikisha kwamba urithi aliotuachia unaendelea daima.

영어

it was decided that there could be nothing more fitting than to celebrate madiba’s birthday each year with a day dedicated to his life’s work and that of his charitable organisations and to ensure his legacy continues forever.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba madiba (kama ambavyo wengi wanapenda kumwita huko afrika ya kusini) alitumia miaka 67 ya maisha yake katika kupiga vita ubaguzi wa rangi na umaskini.

영어

what most people don’t know is that madiba (as he is affectionately known in south africa) spent 67 years in the fight against racism and poverty.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

madiba atacheza kwa mrindimo wa wimbo huu wa maombolezo, umeandikwa na mshairi wa ki-naijeriat, tosin gbogi, anapokaribia "lango la mbinguni":

영어

madiba will dance to the cadence of this dirge, written by nigerian poet, tosin gbogi, as he approaches "heaven's gate":

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,794,257,117 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인