검색어: madirisha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

madirisha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

pale inapotokea umekwama kwa dakika chake katika taa za barabarani katika mji mkuu wa bangladeshi dhaka, bila shaka utaona watoto wakijazana kwenye madirisha ya gari lako.

영어

if you are stuck for a few minutes at a traffic signal in the bangladesh capital dhaka, you will probably see children rushing up to the windows of your vehicle.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nilimuuliza ikiwa wapata joto ikiwa madirisha yao yako wazi wakati wote yakipitisha upepo, akaniambia wakati wakilala wanajifunika na na tabaka nyingi za mablanketi kadiri inavyowezekana, lakini wakati wa mchana na jioni baridi si kali sana.

영어

i asked her if they were keeping warm with the windows always open to the wind, and she said when they sleep they wear as many layers as they can and are covered in as many blankets as possible, but during the day and evening it does get very cold.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

picha ya watu karibu na makazi ya rais,, jamila kulova set za flickr zenye picha za mitaa ya bishkek, yelena skochilo madirisha ya maduka yaliyovunjwa huko bishkek , vyacheslav firsov picha za bishkek, valery georgiadi

영어

pictures of the people next to presidential palace, jamila kulova flickr set with photos of bishkek streets, yelena skochilo broken windows of the shops in bishkek, vyacheslav firsov pictures of bishkek, valery georgiadi

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kuwa upatikaji wa kimataifa wa ppe hautoshi, who inapendekeza kupunguza mahitaji ya ppe kupitia uhamishaji pepe wa maelezo ya kimatibabu, vikwazo vya kimwili kama vile madirisha angavu, ili kuruhusu wale wanaohusika tu katika huduma ya moja kwa moja kuingia chumba cha mgonjwa wa covid-19, kwa kutumia pekee ppe muhimu kwa kazi hiyo mahsusi, kuendelea kutumia mashine hiyo ya kusaidia kupumua bila kuiondoa huku ukiwahudumia wagonjwa kadhaa walio na utambuzi huo mmoja, kufuatilia na kuratibu safu ya ugavi ya ppe, na kutohimiza matumizi ya barakoa kwa watu walio na dalili.

영어

given that the global supply of ppe is insufficient, who recommends minimizing the need for ppe through telemedicine, physical barriers such as clear windows, allowing only those involved in direct care to enter a room with a covid-19 patient, using only the ppe necessary for the specific task, continuing use of the same respirator without removing it while caring for multiple patients with the same diagnosis, monitoring and coordinating the ppe supply chain, and discouraging the use of masks for asymptomatic individuals.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,744,972,412 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인