전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
naangalia angani
no one
마지막 업데이트: 2021-05-21
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
nilichungulia ndani kwa makini nikaona wanyama wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, wanyama watambaao na ndege wa angani.
upon the which when i had fastened mine eyes, i considered, and saw fourfooted beasts of the earth, and wild beasts, and creeping things, and fowls of the air.
ni vigumu kupata kiti katika vyombo vinavyovinjari anga za mbali, lakini kwa bahati, ni rahisi kupata picha za setilaiti zinazopigwa kutoka juu angani.
it's difficult to get a seat on a spaceship, but fortunately, it's easy to find online satellite images from above.
alifafanua kwamba njia ya ndege hiyo angani, hata kama ilikuwa inapita juu ya eneo lenye mgogoro, ilitangazwa kuwa salama na shirika la kimataifa la safari za anga.
he also clarified that the aircraft’s flight route, even if it passed directly above a conflict zone, was declared safe by the international civil aviation organisation.
serikali ya syria imefanya shambulizi kubwa la angani dhidi ya raia wa nchi hiyo -waliokuwa wamesimama kwenye foleni waisubiri mikate kwenye kiwanda cha kuokea mikate huko halfaya, hama.
the syrian government conducted a deadly airstrike against syrians - standing in line waiting for bread in a bakery in halfaya, in hama.
lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake."
but when it is sown, it groweth up, and becometh greater than all herbs, and shooteth out great branches; so that the fowls of the air may lodge under the shadow of it.
yenyewe ni ndogo kuliko mbegu zote, lakini ikishaota huwa kubwa kuliko mimea yote. hukua ikawa mti, na ndege wa angani huja na kujenga viota katika matawi yake."
which indeed is the least of all seeds: but when it is grown, it is the greatest among herbs, and becometh a tree, so that the birds of the air come and lodge in the branches thereof.
picha ya flickr na planegeezer (cc license) siku ya jumamosi ya machi 8, mashirika ya habari duniani kote yaliripoti kuwa ndege ya shirika la ndege la malaysia iliyokuwa angani kuelekea china imepotea.
flickr photo by planegeezer (cc license)on saturday 8th of march, news media around the world reported that a plane by malaysia airlines en route to china went missing.
wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…
they're using new weaponry ... very frightening... as it goes through the air... you hear it very close to you... it's going to come, it's going to kill me, now now now... that's what you think of... it's terrifying... i admit not to care... i have gotten used to the old weaponry... now i have to get used to this one too... i cannot describe in words to you the extent of its terror... like a rocket being projected onto you... and the sound... the sound of a plane in the air coming towards you... magnifying its sound the closer it gets... then it passes above our heads... we are all on the floor