검색어: makerere (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

makerere

영어

makerere university

마지막 업데이트: 2012-06-18
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

hali inakuwa mbaya #makerere

영어

situation getting bad #makerere

마지막 업데이트: 2024-04-13
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

ghasia chuo kikuu cha makerere

영어

riots at makerere university

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

au ni mabomu ya machozi? #makerere

영어

or its tear gas? #makerere

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

wanafunzi walijibu mapigo siku ya jumanne kwa kuandamana kwenye viwanja vya chuo kikuu cha makerere huku wamebeba mabango na jeneza ili kupinga mauaji hayo.

영어

students responded on tuesday by marching through makerere university grounds, carrying signs and a coffin to protest the killings.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

jana usiku wanafunzi wawili wa makerere walipigwa risasi na mlinzi wa usalama mwenye silaha jambo ambalo lilipelekea ghasia zilizosambaa sana katika maeneo ya chuo kikuu leo.

영어

last night two makerere students were shot by an armed security guard leading to widespread riots near the university today.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

utafutaji katika twita wa neno “makerere” kwa kiasi kikubwa ulikubaliana na dai hilo, huku jumbe nyingi za twita zikiwa na makala za magazeti.

영어

a twitter search for "makerere" largely supported his claim, with most tweets consisting of links to newspaper articles.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

jumanne, majanga mawili tofauti yaliikumba kampala, mji mkuu wa uganda: wanafunzi katika chuo kikuu cha makerere walifanya ghasia baada ya wanafunzi wenzao wawili kupigwa risasi.

영어

two separate tragedies struck kampala, the capital of uganda, on tuesday: students at makerere university rioted after the shooting death of two of their peers.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

@aspindler2 (masaa 18 yaliyopita): maandamano katika chuo cha makerere kampala uganda baada ya wanafunzi 2 kupigwa risasi na mlinzi wa usalama jana usiku.

영어

@aspindler2 (18 hours ago): demonstrations at makerere univ. kampala uganda after shooting of 2 stdnts last night by security guard.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

kwa mujibu wa magazeti ya uganda, ghasia katika chuo kikuu cha makerere, chuo kikuu kikubwa zaidi nchini uganda, zilianza baada ya wanafunzi wawili kupigwa risasi na mmoja kujeruhiwa vibaya na mlinzi wa usalama usiku wa jumatatu wakati wa mkutano kuhusu uchaguzi wa wanafunzi.

영어

according to ugandan newspapers, the riots at makerere university, uganda's largest university, began after two students were shot dead and another critically injured by a security guard monday night during a meeting about the current student guild elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

스와힐리어

peak performers, mwenyekiti, 256754531058 machi 3, 2024 mkuu [last name] mkuu wa makerere business school [university address] sababu: mwaliko wa kuhudhuria tamasha katika chuo kikuu cha makerere business. mheshimiwa dean [jina la mwisho], natumai barua hii inakukuta ukiwa mzima wa afya. naandika kukuongezea mwaliko wa kutuhudhuria tamasha lijalo, lililoandaliwa na chuo kikuu cha makerere business. kama kiongozi mashuhuri katika chuo chetu, uwepo wako ungeongeza thamani kubwa kwenye tukio hili

영어

peak performers, chairman, 256754531058 march 3, 2024 chief [last name] head of makerere business school [university address] reason: invitation to attend the festival at makerere business university. mr. dean [last name], i hope this letter finds you well. i am writing to extend an invitation to you to attend the upcoming festival, organized by makerere university business. as a prominent leader in our campus, your presence would add great value to this event

마지막 업데이트: 2024-03-04
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

인적 기여로
7,793,908,578 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인