검색어: marafiki wa kuchat nao bongo (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

marafiki wa kuchat nao bongo

영어

nakupenda

마지막 업데이트: 2023-08-19
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

marafiki wa gnome

영어

friends of gnome

마지막 업데이트: 2014-08-15
사용 빈도: 3
품질:

스와힐리어

mimi na wewe ni marafiki wa damu kabisa

영어

you and i are absolutely bloody friends

마지막 업데이트: 2021-08-01
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

basi piganeni na marafiki wa shet'ani.

영어

fight, then, against the fellows of satan.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mykagame ni ukurasa wa klabu ya marafiki wa paul kagame.

영어

mykagame is an online fan club for paul kagame.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata majirani zangu na marafiki wa zamani hawakuwasiliana nami kabisa.

영어

even my neighborhood and my old friends didn’t talk with me at all.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mbwa anasema: tafadhali msitule sisi, sisi ni marafiki wa binadamu.

영어

the dog says: please don't eat us, we are human's friends.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hakika sisi tumewafanya mashet'ani kuwa ni marafiki wa wasio amini.

영어

indeed, we have made the devils allies to those who do not believe.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama rafiki yangu alivyoniambia mwanangu hapati matatizo na kupata marafiki wa kiume na wa kike.

영어

as a buddy mentioned to me my son most certainly doesn’t suffer from a lack of friends male or female.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakimbizi nchini uganda wakitumia simu za mkononi kuwasiliana na jamaa pamoja na marafiki wa karibu.

영어

refugees in uganda are using sms and cellphones to reconnect with family members and close friends.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

binti wa mfanyakazi wa ndege hiyo mh370 alitwiti kuwafariji ndugu na marafiki wa abiria wa ndege ya mh17:

영어

a daughter of an mh370 flight attendant tweeted her message of support to the families and friends of mh17 passengers:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hua nakuona chuoni ila hatujawai ongea kwakua tumekutana uku kama utaona inafaa sio mbaya kama tukijuana tukawa tu marafiki wa kawaida

영어

i see you in college, but we haven't talked about growing up.

마지막 업데이트: 2021-08-29
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, baadhi ya marafiki wa ki-hindi wa mume wangu wamemweleza nia zao za kutafuta wanawake wa kizungu.

영어

however, some of my husband's indian friends have expressed their desire to find a white girl to my husband.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kulikuwa na washiriki 10 wa kichina kwenye ibada hiyo, mchanganyiko wa wanafunzi, ma-profesa na marafiki wa kenya.

영어

there were around 10 chinese participants at the vigil, a mix of students, professors and friends of kenya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

bi. bakhshi alisema wakati wa ziara ya kifamilia ya majira ya joto walioifanya nchini uturuki waligundua kwamba baadhi ya marafiki wa amin walikuwa wamekamatwa.

영어

ms. bakhshi said during this summer’s annual family visit to turkey they discovered that some of amin’s friends had been arrested.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hakika yeye na kabila yake wanakuoneni, na nyinyi hamuwaoni. hakika sisi tumewafanya mashet'ani kuwa ni marafiki wa wasio amini.

영어

do not let satan put you in trial the way he removed your parents from paradise and had their garments removed so that their shame become visible to them; indeed he and his tribe see you from where you do not see them; indeed we have made the devils the friends of those who do not believe.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

walio amini wanapigana katika njia ya mwenyezi mungu, na walio kufuru wanapiana katika njia ya upotofu. basi piganeni na marafiki wa shet'ani.

영어

the believers fight for allah’s cause; and the disbelievers fight for the devil’s cause – so fight against the friends of the devil; undoubtedly the devil’s conspiracy is weak.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika ukurasa wa twita, kiungo habari #hastaqueaparezcagoyo kilitumika kama namna ya kuiunga mkono familia na marafiki wa jiménez de la cruz wakati wa kipindi kigumu walichopitia.

영어

on twitter, the hashtag #hastaqueaparezcagoyo was used to express support for the family and colleagues of jiménez de la cruz during the darkest hours.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

au kama wewe hufanya manunuzi kwa njia ya amazon, bonyeza kiungo hiki kabla ya kufanya manunuzi yako, na amazon smile watatoa kiasi kidogo cha bei uliyonunulia bidhaa kwa marafiki wa global voices.

영어

or if you're an amazon shopper, click on this link before making your purchases, and amazon smile will donate a portion of the purchase price to friends of global voices.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

blogu ya trailtracker, ambayo marafiki wa wanablogu na waandishi hawa wamekuwa wakiitumia kuweka mara kwa mara taarifa za maendeleo ya kesi yao pamoja na hali yao, wanamwelezea atnaf kama mhabeshi ambaye "anafahamika kwa umahiri wake wa kutumia twita kusambaza kwa haraka habari motomoto za nchi yake".

영어

the trailtrackerblog, where supporters post regular updates about the case and the bloggers' condition, describes him as a young ethiopian who is "known for his use of twitter handle for hyper local updates."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,774,286,714 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인