검색어: mashati (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

mashati

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mashati mekundu wakiandamana

영어

red shirts marching

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mahakama ya mwanzo mashati

영어

the court of origin

마지막 업데이트: 2019-02-08
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mashati ya njano ni kundi linaloiunga mkono serikali.

영어

the yellow shirts are supporters of the government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mashati mekundu wanapanga kufanya maandamano ya watu milioni moja mnamo machi 14, jumapili, ili kuipindua serikali iliyo madarakani.

영어

the red shirts are planning to stage a "million-man march" on march 14, sunday, to topple the current administration.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

mashati mekundu wameahidi kutotumia vurugu katika maandamano hayo lakini video hii ya youtube inaonyesha ugomvi baina ya mtu mwenye shati jekundu na dereva mmoja.

영어

the red shirts have promised not to use violence in the rallies but this youtube video shows a scuffle between a red shirter and a motorist

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maandamano ya kuipinga serikali ya machi 12 yalimalika salama huku kundi la mashati mekundu likiapa kurejea tena mitaani mwishoni maw juma hili ili kuendelea kushinikiza kuvunjwa kwa bunge na kuitisha uchaguzi mkuu.

영어

the march 12 anti-government rally ended peacefully with the red shirts vowing to return to the streets this weekend as they continue to push for the dissolution of parliament and the holding of new elections.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakati wa mazishi hayo yaliyodhaminiwa na familia ya kifalme, wapinzani wa serikali wa mashati ya mekundu (wengi walikuwa wafuasi wa samak) nje ya hekalu waliwazomea maafisa wa serikali waliohudhuria desturi hiyo.

영어

during a royally-sponsored funeral rite, the anti-government red shirts (most of them were samak supporters) outside the temple booed government officials who attended the ritual.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

richard barrow: wanasema kuwa kuwa magari ya mizigo na mabasi mengi ya #mashatimekundu yamekuwa yakisimamishwa na kukaguliwa katika vizingiti vya polisi jambo ambalo linawachelewesha mamia ya picha za mashati mekundu zinapatikana kwenye mtandao kwa hisani ya richard barrow.

영어

richard barrow: they are saying many of the #redshirt pickups and buses are being stopped and searched by police checkpoints which is delaying them hundreds of photos of the red shirts are accessible online courtesy of richard barrow.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama jamii tunatilia mkazo kukunja mikono ya mashati yet una kuingia kazini ili kukabiliana na tatizo hai zaidi: kuziba mapengo yaliyo kwenye mjadala wa umma duniani, na kufanya tunaloweza kuhusu mizani isiyo sawa, uonevu na ukiukwaji wa haki katika vyombo vya habari duniani.

영어

as a community we're more interested in rolling up our sleeves and getting to work addressing a more tangible problem: filling a few of the gaping holes in the global public discourse, and doing what we can about the huge imbalances, inequities, and injustices in global media.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
8,025,524,936 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인