검색어: matokeo mapya ya slam! (스와힐리어 - 영어)

스와힐리어

번역기

matokeo mapya ya slam!

번역기

영어

번역기
번역기

Lara로 텍스트, 문서 및 음성을 즉시 번역

지금 번역하기

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

zambia: magari mapya ya kifahari ya mtoto wa rais yasababisha minong’ono

영어

zambia: president's son new luxury cars cause uproar · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

inaonekana kwamba kuna upungufu wa mambo mapya ya kisiasa yanayoibuliwa kwa wa-zambia siku hizi.

영어

it appears that there is no shortage of political revelations for zambians these days.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

dhidi ya kinyume cha hali ya mazingira mapya ya kitaifa ya usalama wa kamati, swali la kushughulikiwa ni:

영어

against the background of the setting up of a new national security committee, the question to be addressed is:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa tangazo la "azimio la kikatiba" lilifanywa na wanamgambo hao wa houthi, mabadiliko mapya ya kimadaraka yanatokea.

영어

with the announcement of the "constitutional declaration" by the houthis, a new power shift is taking place.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

wakati kufungwa kwa blogu hiyo isiyofahamika mmiliki wake ni kurudishwa nyuma kwa uhuru wa kujieleza kw watu wa thailand, kusambaa kwa picha za heshima ya vidole vitatu mtandaoni kunaleta matumaini mapya ya mstakabali wa nchi hii iliwahi kuwa wazi na ya kidemokrasia.

영어

whilst the closure of the anonymous blog is another set-back for the freedom of expression of the thai people, images such as the three-fingered salute being shared on social media provide a small glimmer of hope for the future of this once open and democratic country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati nchi jirani ya rwanda inagonga vichwa vya habari na maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 na kuongezeka kwa mvutano na ufaransa, burundi imeharibiwa katika kupuuzwa kwa mgogoro wa kisiasa na dalili za vurugu zinazoweza kusababisha mapigano mapya ya wahutu na watutsi.

영어

while neighboring rwanda is making news with the commemoration of the 1994 genocide and the increased tension with france, burundi is marred in an overlooked political crisis and surge of violence that opposes, again, hutus and tutsis.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama mmoja wa watu waliolalamika sana siku za nyuma kuhusu kilichoonekana kuwa kukosekana kwa mawazo mapya ya "ushirikiano wa kimkakati na afrika" kutoka ikulu ya obama, ninauona mpango wa nishati kuwa na mwelekeo sahihi.

영어

as one of the people who have in the past complained about the seeming lack of new ideas for a “strategic engagement with africa” from the obama white house, i welcome renewed energy towards that direction.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

unajumuisha utafiti wa maabara kuhusu vijiumbe na wanyama, kuwasilisha hali za kisheria, kama vile kupitia fda, kwa dawa mpya ya uchunguzi ili kuanzisha majaribio ya kimatibabu kwa wanadamu, na unaweza kujumuisha hatua za kupata idhini ya kisheria kwa maombi mapya ya dawa ili kutangaza dawa hiyo.

영어

it includes laboratory research on microorganisms and animals, filing for regulatory status, such as via the fda, for an investigational new drug to initiate clinical trials on humans, and may include the step of obtaining regulatory approval with a new drug application to market the drug.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ace2 iliyounganishwa ya binadamu (rhace2) imechukuliwa kuwa matibabu mapya ya majeraha makali ya mapafu, na ilionekana kuboresha mzunguko wa damu mwilini na ukolevu wa oksijeni katika nguruwe wadogo walio na ugonjwa uliosababishwa wa shida kali ya mfumo wa kupumua wa lipopolysaccharide.

영어

recombinant human ace2 (rhace2) is surmised to be a novel therapy for acute lung injury, and appeared to improve pulmonary hemodynamics and oxygen saturation in piglets with a lipopolysaccharide-induced acute respiratory distress syndrome.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
8,891,295,316 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인