검색어: mawimbi (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mawimbi

영어

view

마지막 업데이트: 2017-03-28
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ikawa inakwenda nao katika mawimbi kama milima.

영어

and it moved on with them amidst waves like mountains.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji.

영어

and there arose a great storm of wind, and the waves beat into the ship, so that it was now full.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mawimbi ya kwanza ya tsunami yaliripotiwa kuonekana kwenye pwani za ilo na tacna kusini ya peru:

영어

the first tsunami waves were reported to be arriving to the coasts of ilo and tacna in southern peru:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

serikali iliwaomba wananchi kuondoka eneo lote la pwani kufuatia mawimbi ya kwanza ya bahari yalifika eneo la iquique.

영어

the government asked for an immediate evacuation of the entire coastline as the first waves hit iquique.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

au ni kama giza katika bahari kuu, iliyo funikwa na mawimbi juu ya mawimbi, na juu yake yapo mawingu.

영어

or as darkness on a vast, abysmal sea. there covereth him a wave, above which is a wave, above which is a cloud.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

au ni kama giza katika bahari kuu, iliyo funikwa na mawimbi juu ya mawimbi, na juu yake yapo mawingu. giza juu ya giza.

영어

or (the unbelievers' state) is like the depths of darkness in a vast deep ocean, overwhelmed with billow topped by billow, topped by (dark) clouds: depths of darkness, one above another: if a man stretches out his hands, he can hardly see it! for any to whom allah giveth not light, there is no light!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini anapaswa kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. mtu aliye na mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa na upepo.

영어

but let him ask in faith, nothing wavering. for he that wavereth is like a wave of the sea driven with the wind and tossed.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

"kutakuwa na ishara katika jua na mwezi na nyota. mataifa duniani yatakuwa na dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na mshindo wa mawimbi ya bahari.

영어

and there shall be signs in the sun, and in the moon, and in the stars; and upon the earth distress of nations, with perplexity; the sea and the waves roaring;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

maila baje katika nepali netbook anasema kuwa jaribio la hivi karibuni la bw. nepal la kuataka kumaliza kugota kwa mahusiano na watu wa kundi la ki-mao limeshindwa kutengeneza mawimbi yoyote.

영어

maila baje at nepali netbook says that mr. nepal's latest attempt to end the stand-off with the maoist has failed to make any waves:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tetemeko hilo, ambalo halikuathiri maeneo ya bara pekee kwa njia ya kusogea sogea kwa ardhi, kadhalika lilisababisha mawimbi ya tsunami mabyo yalizua tahadhari katika eneo zima la pasifiki huku mataifa mbalimbali yakijiandaa kwa mawimbi hayo pindi yatakapofika kwenye fukwe zao.

영어

the earthquake, which not only affected the mainland through the ground movements, also generated tsunami waves that set out an alarm throughout the pacific as different nations prepared for the waves to hit their shores.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

basi, akaamka, akaukemea ule upepo na kuyaamrisha mawimbi ya ziwa, "kimya! tulia!" hapo upepo ukakoma, kukawa shwari kabisa.

영어

and he arose, and rebuked the wind, and said unto the sea, peace, be still. and the wind ceased, and there was a great calm.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kwanza matangazo yalikatwa kwa saa 24, na mnamo tarehe 1 aprili, 2011 directscoop, ambayo ni blogu ya habari za kiraia za kutoka afrika, ilitangaza kwamba mawimbi ya kituo hicho yalikuwa yameanza kupatikana tena:

영어

the signal was first cut for 24 hours, and on april 1, 2011 directscoop, a citizen information blog focused on africa, announced that the signal of the channel was back:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wewe ni kitu ambacho kinanipa matumaini. wewe ni chanzo cha nguvu zangu na sababu nataka kukua kila siku. bahari ni mahali pazuri, na imejaa uzima. lakini uzuri wake wa kweli umefichwa kutoka kwa jicho. inajificha chini ya mawimbi yasiyo na mwisho. msichana, nataka ujue kwamba wewe ni sababu nataka kuangalia zaidi ya upeo wa macho, kuona ulimwengu mpya. nataka kufanya ndoto zetu zitokee na kuishi maisha ya maana. umenigeuza kuwa mtu mzuri. ninachotaka ni kukaa na kusimama pamoja nawe kwa ajili ya rest of my life!

영어

you are the one thing that gives me hope. you are the source of my strength and the reason i want to grow every day. the sea is a beautiful place, and full of life. but its true beauty is hidden from the eye. it hides beneath the ceaseless waves. girl, i want you to know that you are the reason i want to look beyond the horizon, to see a new world. i want to make our dreams happen and live a meaningful life. you’ve turned me into a good man. all i want is to stay and stand with you for the res

마지막 업데이트: 2024-03-15
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
8,041,381,720 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인