검색어: mchanganyiko wa nini (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

mchanganyiko wa nini

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mchanganyiko wa mahindi na maharage inaitwaje

영어

mixture of maize and beans inaitwaje

마지막 업데이트: 2023-05-22
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

je tunaweza kupata mwongozo wa nini kifanyike?

영어

can we get guidance on what should be done?

마지막 업데이트: 2020-03-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakampa mchanganyiko wa divai na nyongo. lakini yesu alipoonja akakataa kunywa.

영어

they gave him vinegar to drink mingled with gall: and when he had tasted thereof, he would not drink.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

habari zenye mchanganyiko wa huzuni na furaha zilitoka kwenye mkutano huu vile vile.

영어

some bitter-sweet news came out of the global voices summit too.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa sasa, annie ni miongoni mwa wanakikundi "mchanganyiko" wa bendi ya afro, pepe soup.

영어

annie is now part of a "mixed" afro band, pepe soup.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

je hii itakuwa ni fursa nyingine ya kusherehekea mchanganyiko wa aina mbalimbali katika jamii inayobadilika ya kifaransa?

영어

will this be another opportunity to celebrate diversity in a changing french society?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama vile sabuni, jivu pia ni bidhaa ya kuuwa viini kwa sababu ikichanganywa na maji, hutengeneza mchanganyiko wa alkalini.

영어

like soap, ash is also a disinfecting agent because in contact with water, it forms an alkaline solution.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wachaga ni kabila la kibantu lakini pia ni mchanganyiko wa damu ya kitusi wanaoishi kasikazini mwa tanzania chini ya mlima kilimanjaro mkoani kilimanjaro

영어

swahili

마지막 업데이트: 2020-10-06
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kulikuwa na washiriki 10 wa kichina kwenye ibada hiyo, mchanganyiko wa wanafunzi, ma-profesa na marafiki wa kenya.

영어

there were around 10 chinese participants at the vigil, a mix of students, professors and friends of kenya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

naye nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.

영어

and there came also nicodemus, which at the first came to jesus by night, and brought a mixture of myrrh and aloes, about an hundred pound weight.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ripoti moja ya cnn ilionyesha kuwa mchanganyiko wa idadi ya watu wengi walio wazee na kutoweza kupima wote walio na virusi hadi sasa huenda inachangia idadi kubwa ya vifo.

영어

a cnn report indicated that the combination of italy's large elderly population and inability to test all who have the virus to date may be contributing to the high fatality rate.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uchunguzi wa kujaribu dawa nchini uchina wa mchanganyiko wa lopinavir na ritonavir, haukupara athari kwa watu waliolazwa hospitalini kwa sababu ya covid-19.

영어

a preliminary study in china of combined lopinavir and ritonavir found no effect in people hospitalized for covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

habari mbaya kwa wa-cuba wenye ngozi nyeusi au yenye mchanganyiko wa weusi na weupe ni kwamba hakuna taasisi huru za kisheria itawalinda kutelekezwa na serikali.

영어

the worst news for black and mixed-race cubans is that there are no independent legal institutions that protect them in the face of government neglect.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

juma hili, bila utaratibu maalum, tutafanya ziara ya kutembea kwenye blogu mbalimbali, na mada anuai katika mchanganyiko wa tofauti kidogo na masoko holela ya aleppo.

영어

this week we will take a random walk around different blogs, and different topics in a maze that is little different than the random markets of aleppo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

binafsi nimeanza kuangalia mapambano hayo huku nimezima sauti –mchanganyiko wa timu ya utangazaji wa espn na vuvuzela vina uwezo wa kutumika kama sindano m’badala ya sumu au kitu kama hicho.

영어

i’ve personally begun watching the games on mute - what with the combination of espn’s commentary team and the vuvuzela capable of being substituted for lethal injection and all.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

vilevile, shughuli ya seli ya uuwaji asilia kwenye popo imedidimizwa kutokana na kuzalishwa kwa vipokezi vizuizi vya seli ya uuwaji asilia ya nkg2/cd94 na kiwango cha chini cha molekuli za aina ya i za mchanganyiko wa uoanifu wa tishu.

영어

besides, the natural killer cell activity in bats is suppressed due to upregulation of inhibitory natural killer cell receptor nkg2/cd94 and low expression level of major histocompatibility complex class i molecules.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uzoefu mzuri ajabu sana, kwa sababu wengi wa watoto hawa hawjawahi kuona televisheni, achilia mbali ndege inayopaa angani; mchanganyiko wa mvuto, msisimko na maajabu ya wanachokiona ndilo lilikuwa likionekana kwenye nyuso zao.

영어

a truly amazing experience, as many of these children have never seen a working television, let alone a flying drone; the mixture of excitement, trepidation, and awesome wonder was a treat to see on their faces.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kulingana na protisi ianyopatikana ya seli mama, ukwamiliaji na uamilishaji huruhusu virusi kuingia kwenye seli mama kwa njia ya endocytosis au mchanganyiko wa moja kwa moja wa mfuniko wa virusi na utando mama. baada ya kuingia kwenye seli mama, chembe cha virusi hufunguliwa, na genomu huingia sitoplazimu ya seli.

영어

depending on the host cell protease available, cleavage and activation allows the virus to enter the host cell by endocytosis or direct fusion of the viral envelop with the host membrane.on entry into the host cell, the virus particle is uncoated, and its genome enters the cell cytoplasm.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini sabuni na maji hufaa zaidi kuliko mchanganyiko wa kusugua mikono wenye pombe kwa kupunguza virusi vya homa ya mafua vya h1n1 a na chembe za clostrridium difficile kutoka kwa mikono.mikakati ya kuboresha usafi wa mikono katika mandhari ya huduma ya afya inaweza kuhusisha elimu ya wafanyakazi kuhusu kuosha mikono, kuongeza kupatikana kwa mchanganyiko wa kusugua mikino ulio na pombe, na makumbusho yaliyoandikwa na ya kusemwa kwa wafanyakazi.

영어

but soap and water is more effective than alcohol-based hand rubs for reducing h1n1 influenza a virus and clostridium difficile spores from hands.interventions to improve hand hygiene in healthcare settings can involve education for staff on hand washing, increasing the availability of alcohol-based hand rub, and written and verbal reminders to staff.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hii inajumuisha wafanyakazi ambao hutangamana na umma kwa jumla kama vile katika shule, mandhari ya kazi yenye watu wengi, na sehemu zingine za biashara rejereja yenye watu wengi.vidhibiti vya uhandisi kwa hii na vikundi vyenye uwezekano mkubwa ya maambukizi inajumuisha kuweka chujio za hewa ya hali ya juu, kuongeza viwango vya uingizaji hewa, kuweka vizuizi kama vile vizuizi angavu za kupiga chafya, na kuweka dirisha la kupitia kwa unapoendesha gari kwa huduma ya wateja.udhibiti za utawala kwa kikundi hiki na vingine vilivyo hatarini ni pamoja na kuhimiza wafanyakazi wagonjwa kukaa nyumbani, kubadilisha mikutano ya uso kwa uso na mawasiliano kwa njia za kimtandao, kuanzisha kufanya kazi kwa zamu zilizolegezwa, kukatiza safari zisizohitajika katika maeneo yaliyo na mkurupuko unaoendelea wa covid-19, kutunga mipango ya mawasiliano ya dharura ikiwemo jukwaa la kujibu maswali ya wafanyakazi, kutoa elimu na mafunzo ya sasa kuhusu hali za hatari ya covid-19 na tabia za kujikinga, kufunza wafanyakazi wanaohitaji kutumia nguo na vifaa vya kujikinga jinsi ya kuzitumia, kutoa rasilimali na mandhari ya kazi inayosisitiza usafi wa kibinafsi, kuosha mikono mara kwa mara, kupunguza ufikivu wa wateja na umma kwa sehamu ya kazi, na kubandika ishara kuhusu kuosha mikono na hatua zingine za kuzuia covid-19.kulingana na kazi inayofanywa, wafanyakazi walio na kiwango cha wastani chache ya maambukizi huenda wakahitaji kuvaa vifaa vya kijikinga kibinafsi ikiwemo baadhi ya mchanganyiko wa glavu, gauni, kizuizi cha uso au barakoa ya uso, au miwani.

영어

these include workers who have contact with the general public such as in schools, high-population-density work environments, and some high-volume retail settings.engineering controls for this and higher risk groups include installing high-efficiency air filters, increasing ventilation rates, installing physical barriers such as clear plastic sneeze guards, and installing a drive-through window for customer service.administrative controls for this and higher risk groups include encouraging sick workers to stay at home, replacing face-to-face meetings with virtual communications, establishing staggered shifts, discontinuing nonessential travel to locations with ongoing covid-19 outbreaks, developing emergency communications plans including a forum for answering workers’ concerns, providing workers with up-to-date education and training on covid-19 risk factors and protective behaviors, training workers who need to use protecting clothing and equipment how to use it, providing resources and a work environment that promotes personal hygiene, requiring regular hand washing, limiting customers' and the public's access to the worksite, and posting signage about hand washing and other covid-19 protective measures.depending on the work task, workers with at least medium exposure risk may need to wear personal protective equipment including some combination of gloves, a gown, a face shield or face mask, or goggles.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,787,957,304 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인