검색어: mezani (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

mezani

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

juu mezani

영어

on the desktop

마지막 업데이트: 2014-08-15
사용 빈도: 3
품질:

스와힐리어

vitu vilianza kuanguka kutoka mezani.

영어

things started to fall down from the table.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"lakini, tazameni! yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani.

영어

but, behold, the hand of him that betrayeth me is with me on the table.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kulipokuwa jioni, yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.

영어

now when the even was come, he sat down with the twelve.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uganda imeuwasilisha mezani kwa mara nyingine tena muswada wenye utata unaopinga ushoga.

영어

uganda has again re-tabled the controversial anti-gay bill.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo.

영어

now no man at the table knew for what intent he spake this unto him.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, yesu aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.

영어

he riseth from supper, and laid aside his garments; and took a towel, and girded himself.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini makondakta wenye sura zenye hofu walianza kukimbia kila mahali wakikusanya magodoro, vitambaa vya mezani na maji.

영어

but conductors with pale faces started running around collecting mattresses, tablecloths and water.

마지막 업데이트: 2024-01-29
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mjadala huo mtandaoni unaurudisha tena mezani mdahalo wa siku nyingi na unaoendelea kuhusu dhana ya serikali kutokuwa na dini nchini brazili.

영어

the discussion online brings to light an old and ongoing debate regarding secularism in the brazilian state.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mtakula na kunywa mezani pangu katika ufalme wangu, na mtaketi katika viti vya enzi kuyahukumu makabila kumi na mawili ya israeli.

영어

that ye may eat and drink at my table in my kingdom, and sit on thrones judging the twelve tribes of israel.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tangu 2007, siku ya wajibu wa blogu imekuwa ikitumika kuwaweka pamoja wanablogu kutoka duniani kote ili kujadili mada muhimu zinazokuwa zimewekwa mezani.

영어

since 2007, blog action day have been gathering bloggers from around the world to put global important topics to the table.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

walipokuwa mezani wakila, yesu alisema, "kweli nawaambieni, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti."

영어

and as they sat and did eat, jesus said, verily i say unto you, one of you which eateth with me shall betray me.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

basi, yesu na wanafunzi wake walikuwa mezani kwa chakula cha jioni. ibilisi alikwisha mtia yuda, mwana wa simoni iskarioti, nia ya kumsaliti yesu.

영어

and supper being ended, the devil having now put into the heart of judas iscariot, simon's son, to betray him;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwishowe, yesu aliwatokea wanafunzi kumi na mmoja walipokuwa pamoja mezani. akawakemea sana kwa sababu ya kutoamini kwao na ukaidi wao, maana hawakuwaamini wale waliokuwa wamemwona baada ya kufufuka.

영어

afterward he appeared unto the eleven as they sat at meat, and upbraided them with their unbelief and hardness of heart, because they believed not them which had seen him after he was risen.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kundi la "wanawake walio mashambani" limetenga kipande cha ardhi kwa ajili ya wanawake wafanyakazi wasio na ajira, wakiwapa fursa ya kupata chakula kidogo cha kuweka mezani.

영어

the group "women on farms" has set aside a piece of land for unemployed female workers, giving them a chance to put food on the table.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kwa mujibu wa dkt. rajiv shah, mtawala katika usaid, mkutano huo wa mtandaoni utawaleta pamoja "watu ambao huwa wameketi mezani kama wafanya uamuzi".

영어

according to dr. rajiv shah, adminsitrator of usaid, the online summit will gather "individuals who are not normally seated at the table with key decision makers".

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

msikilizaji: ungependa kuagiza nini, bwana? mteja: naweza kuona menyu, tafadhali? msikilizaji: kwa kweli. hapa ni wewe. mteja: ahsante. (mteja anaangalia menyu na anasema.) mteja: ningependa kuagiza kuku na mchele wa grisi. msikilizaji: je! ungependa kitu chochote cha kunywa na chakula chako, bwana? mteja: ndio, ningependa chupa ya maji ya madini. (waiter anarudi na chakula baada ya dakika chache na kuiweka mezani.) kiungo: furahiya chakula chako! mteja: ahsante. (baada ya

영어

waiter: what would you like to order, sir? customer: can i see the menu, please? waiter: certainly. here you are. customer: thank you. (the customer takes a look at the menu and says.) customer: i’d like to order grilled chicken and rice. waiter: would you like anything to drink with your meal, sir? customer: yes, i’d like a bottle of mineral water. (waiter returns with the food after a few minutes and places it on the table.) waiter: enjoy your meal! customer: thank you. (after a

마지막 업데이트: 2020-03-12
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,776,993,089 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인