검색어: michezo ya ufahamu (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

michezo ya ufahamu

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

michezo ya majini

영어

water sports

마지막 업데이트: 2021-05-17
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kitabu kipya cha michezo ya watoto kutoka nchi mbalimbali

영어

new ebook of games for kids from around the world · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

makala hii ni sehemu ya makala zetu maalum kuhusiana na michezo ya olympiki ya london, 2012 .

영어

this post is part of our special coverage london 2012 olympics.

마지막 업데이트: 2023-09-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

labla, hata hivyo, wakati wa michezo ya olimpik...kwa namna yoyote na mantiki ya mwonekano .

영어

maybe, however, at the olympic games....

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

unaweza pia kuharibu na kuuza kompyuta za mapajani, michezo ya kompyuta, nyenzo ngumu za kompyuta na dvd.

영어

you can also recycle and sell laptops, video game console, external hard drive, video game or dvd.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

uhalifu na ngono vinaoneshwa wazi kabisa kwenye michezo ya luninga na filamu na hivi vyote vinafonzwa na vijana na watoto pia.

영어

violence and sex are prevalent on many t.v. shows and movies and these are all absorbed by the youth and children as well.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mwandishi wa michezo ya kuigiza aizzah fatima aliigiza uhusika anaouita "mwanaharakati haki za wanawake anayevaa hijabi."

영어

playwright aizzah fatima plays a character she calls a "hijabi feminist."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

wakati huo huo usalama wa wanamichezo na wageni kwenye michezo ya jumuiya ya madola mwezi oktoba 2010 ni suala linaloendelea ambalo linaweza kulipuka wakati wowote.

영어

meanwhile the safety of athletes and visitors at the 2010 commonwealth games in delhi in october is an ongoing issue that could erupt at any time.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika nyakati nyingine, ofisi ya kurekebisha hali ya hewa imepunguza mvua kuhakikisha anga linakuwa tupu, mfano wakati wa gwaride la siku ya uhuru au wakai wa michezo ya olimpiki.

영어

at other times, the weather modification office has reduced the rain to ensure clear skies, such as during the national day parade in october or the beijing olympic games.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini wanaweza kunijia wenyewe wakati wa michezo ya mpira wa kikapu au baada ya ziara ya kutembelea maabara ya tarakilishi kuniuliza maswali, kupata huduma na ushauri. ”

영어

but they can discretely drop in on me between basketball games or after a trip to the computer lab to ask questions, access services and get advice.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuanzia tarehe 29, augusti hadi septemba 12, 2012, wanamichezo 4,200 kutoka nchi 166 watashiriki katika michezo ya 14 ya paralympiki jijini london itakayohusisha nyanja ishirini za kimichezo.

영어

from august 29 until september 12, 2012, 4,200 athletes from 166 countries will take part in the 14th edition of the paralympic games in london and will compete in twenty disciplines.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hook, line, sinker na toastyken kuhusu blogu, kwa kupitia picha za video na mtandao wa marafiki wa facebook, raia wa colombia, diego alejandro, anaweka wazi udanganyifu na utapeli mkubwa uliojificha nyuma ya michezo ya upatu ambayo inatangazwa kama njia mbadala za uwekezaji.

영어

hook, line, sinker by toastyken on blogs, through videos and on facebook, colombian diego alejandro is exposing the deceit and scams behind pyramid schemes that masquerade as investment options.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maisha, hata maisha ya wale ambao sisi hatuwapendi, hayana bei na ni bora zaidi kutumia fedha (kama imefanyika) kwa watu kuliko kwa michezo ya wahindi ili wazembe wanne wacheze na kujiamini wenyewe kuwa mashujaa katika "huduma" wa "amani" na "mageuzi."

영어

life, even the lives of those who we do not like, has no price and it is much better to spend money (if it has been done) on people than on cowboys and indians games so that four slackers play and believe themselves to be chonvaine on "missions" of "peace" and "reconstruction."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,800,395,163 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인