검색어: mikakati (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mikakati

영어

wheelbarrow

마지막 업데이트: 2017-09-13
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

maana ya neno mikakati

영어

the meaning of the word strategies

마지막 업데이트: 2023-02-04
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuhusu mikakati ya kuzuia ukimwi

영어

on aids prevention strategy

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuna mikakati tatu ya chanjo ambayo inachunguzwa.

영어

there are three vaccination strategies being investigated.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hadi sasa, cnnc hakijatangaza mabadiliko yoyote kwenye mikakati yake.

영어

so far, the cnnc has not announced any change in its plan.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama kila kitu ni katika sophistication lazima kuwa na mipango ya mikakati bora ya kufanya mafanikio

영어

if everything is at sophistication we must be planning with a better strategies to make a success

마지막 업데이트: 2023-10-15
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mikakati katika uthibiti wa kuzuka kwa ugonjwa ni kuzuia kuongezeka au kukandamiza, na kuepukana.

영어

strategies in the control of an outbreak are containment or suppression, and mitigation.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kikundi cha wataalam ilisema kuwa kila mtu ana haki ya mikakati ya kuokoa maisha na serikali ina jukumu hili.

영어

the expert group stated that everyone is entitled to life-saving interventions and the government holds this responsibility.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuna hitaji la utafiti zaidi katika ipi kati ya mikakati haya yana ufanisi katika mandhari tofauti ya huduma ya afya.

영어

there is a need for more research into which of these interventions are most effective in different healthcare settings.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

erik alifanya kazi na ikulu ya marekani katika kuandaa mikakati ya nyenzo mpya za habari kwa ajili ya ghana na afrika.

영어

erik worked with the white house in developing their new media strategy for ghana and africa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hishammuddin hussein, ambaye ni waziri wa ulinzi wa malaysia alitwiti kuhusiana na mikakati ya serikali ya malasia:

영어

hishammuddin hussein, malaysia's minister of defence, tweeted the malaysian government's priorities:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ukiwa na mifano inayofaa, fafanua kuharibika kwa mikakati sita iliyotolewa na modeli ya urasimu wa kiwango cha juu cha weber katika taasisi ya elimu

영어

with relevant examples, explain six dysfunction of strategies provided by max weber's bureaucratic model in governing educational institution

마지막 업데이트: 2021-06-14
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, uchunguzi moja hupendekeza kuwa kuhimiza kuosha kwa mikono kwa kutumia sabuni huwa na gharama nafuu sana kuliko mikakati mingine ya maji na usafi.

영어

however, one review suggests that promoting hand washing with soap is significantly more cost-effective than other water and sanitation interventions.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hivi sasa idadi ya wale wanaoingizwa mkenge na michezo hii inazidi kukua huku serikali ikijaribu kuweka mikakati ya kuwaadhibu wale wanaotumia umbumbu wa raia ili kuwakamua pesa kwa njia hizi za kidanganyifu.

영어

currently the ranks of those cheated by the system keep growing, and the government tries to establish methods to punish those who take advantage of citizens who fall prey to their scam.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, ishara za matumaini zimetokea nchini china kwa msingi wa kupungua kwa idadi ya visa vipya, hii ikionyesha kwamba mikakati ya sasa huenda imekuwa ikifanya kazi.

영어

however, promising signs have occurred in china based on the declining number of new cases, indicating the current strategies might have been working.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, hatuna uhakika kwa sasa iwapo mizani ya uchunguzi inatoa data toshelevu ya kuendesha mikakati ya ndani ya udhibiti au ikiwa kwa namna isiyo mara kwa mara kunakidhi mahitai ya umri wetu wa maelezo.

영어

however, we are at present unsure as to whether the scale of this surveillance provides sufficient data to drive local containment strategies or if reporting infrequently meets the need of our information age.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mwanablogu huyu afafanua kuwa, pamoja na kuwa waathirika katika magarimoshi yafanyayo safari za ndani huongezeka kila mwaka, serikali haijaweza kuweka mikakati ya usalama wa usafiri wa magarimoshi unaotumiwa na watu wengi zaidi.

영어

the blogger highlights that although the casualties in the local trains are much higher each year, the government is not making provisions for safety for the ever-increasing demand on the local trains.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ili kukomesha mikurupuko ya mara kwa mara ya mers, mwelekeo tondoti unapaswa kuchukuliwa ili kuunda chanjo inayofaa dhidi ya mers-cov kwa ngamia, pamoja na mikakati mingine ya kudhibiti maambukizi.

영어

to stop the recurrent outbreaks of mers, a comprehensive approach should be taken to develop effective vaccines against mers-cov for camels, in combination with other infection control measures.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mikakati ya kulinda watu wote na hasa wale walio na hali sugu za afya, ikiwa ni pamoja na kukaa mbali ya watu na kuosha mikono, inapaswa kutekelezwa na jumuiya zote na watu wote ili kusaidia kupunguza kuenea kwa covid-19.

영어

strategies to protect all persons and especially those with underlying health conditions, including social distancing and handwashing, should be implemented by all communities and all persons to help slow the spread of covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kilicho muhimu zaidi, kwa upinzani ni, namna ipi nzuri ya kutumia taarifa hizi, kujiandaa, kujenga mikakati, kwa lengo la kushughulikia masuala muhimu, yaliyoguswa kwenye utafiti huu mdogo.

영어

what really matters most, to opposition parties is, how best they can use this information, to prepare themselves, to develop strategy, to address and focus on key issues, which were sited in this quick/short poll.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,738,721,094 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인