검색어: mikataba (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

mikataba

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

baadhi yetu mikataba yetu ilisitishwa, tuwaulize kwa nini waliisitisha!

영어

some of us had our contracts discontinued, let's ask them why!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

madai haya yaliwekwa bayana katika mikataba kati ya nchi wafadhili na msumbiji.

영어

these demands were made concrete in written agreements between donor countries and mozambique.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

“lakini kama watanzania watawezeshwa, mikataba itakuwa katika hali ya usawa. . . .

영어

“but if tanzanians will be empowered then, contracts will be balanced. . . .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mantiki ya mikataba hiyo inayohusiana na utajiri wa madini wa madagaska ulijadiliwa hivi karibuni na wataalamu wa kimalagasi.

영어

the soundness of deals related to the mineral wealth of madagascar has been recently debated by malagasy experts.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika mabadiliko ya msimamo ya ghafla anc ilitoa tamko mapema leo asubuhi linalosema kuwa ni haki ya kada mwandamizi kutojihusisha na mikataba ya serikali.

영어

in a dramatic shift the anc released a statement early this morning saying that it is within the right of a senior cadre not to partake in government deals.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mikataba ifuatayo hakukidhi sheria na sera za manunuzi za nchi na nyaraka za kuthibitisha namna yalivyoshinda tenda hizo hazionekani, na hakuna anayeweza kutoa maelezo.

영어

the following contracts did not meet the country’s procurement laws and policies and documentation to support the awarding of these contracts were missing, and unaccounted for.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

watanzania kimsingi hawaridhishwi na suala la uwazi wa mikataba inayohusu rasilimali zao, tukio la kuvuja kwa hati ya makubaliano limechochea zaidi watanzania kutokuiamini serikali yao.

영어

tanzanians are not particularly pampered with regard to transparency around natural resources contracts, but this latest affair gives rise to even further mistrust.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

je mali hizo zitataifishwa, mikataba itasitishwa, na kuwaambia watoto wategemee muda mchache na wazazi wao ikiwa wazazi wote watafunga ndoa tena na kupata watoto wengine?

영어

do we liquidate the properties, terminate valid contracts, and tell the children to expect lesser legitimes in the event one or both their parents remarry and have additional children?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"tunashindwa kuingia mikataba inayohusu rasilimali kama ilivyokuwa kwenye uchimbaji madini na sasa katika mafuta na gesi kwa kuwa uwezo wetu bado ni mdogo,” alisema rutabanzibwa.

영어

"we are failing to enter into resource contracts as it was in mining and currently in oil and gas because our capacity is very low,” said rutabanzibwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

haya hapa makampuni matano yaliyokuwa yameingia mikataba mikubwa ya kusambaza vifaa na kutoa huduma katika kupambana na ugonjwa wa ebola nchini sierra leone kama yalivyoorodheshwa kwenye taarifa ya ukaguzi ya fedha za kupambana na ebola kwa kipindi cha kuanzia mei - oktoba 2014.

영어

here are the 5 companies who were awarded the biggest contracts to provide goods and services to sierra leone’s ebola response as listed in the ebola funds audit report covering the period from may – october 2014.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

pamoja na kuwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na vurugu zilizotokea mtwara, uhusiano uliopo kati ya tpdc na statoil wapelekea wananchi wengi wa tanzania kuongeza umakini wao kwenye masuala ya mafuta na gesi, na pia kuongezeka miongoni mwao kwa kutoridhishwa na namna serikali inavyosimamia mikataba ya rasilimali za asili na namna inavyowashirikisha wananchi.

영어

though not directly linked to the protests in mtwara, the tpdc-statoil affair underlines a growing awareness among tanzanians of the issues surrounding oil and gas, and an increasing dissatisfaction with the way the government handles natural resources contracts and communicates this information to citizens.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

azad essa katika tovuti ya thought leader amepandisha makala moja nzuri sana ya kejeli na utani inayoongelea mikataba ya ajabu ajabu ambayo julius malema amejikusanyia katika nafasi yake nzuri serikalini. “nipatie kilo mbili za malema laini, tafadhali!”:

영어

azad essa at thought leader posts up a brilliant satirical piece covering the dodgy contracts julius malema has amassed in his very well-endowed position in government,"two kilo's of tenderised malema, please!":

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,747,498,775 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인