검색어: miwani ya kuzuia miale (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

miwani ya kuzuia miale

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kuhusu mikakati ya kuzuia ukimwi

영어

on aids prevention strategy

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

peru: kampeni ya kuzuia kufungwa kwa maktaba ya amazon

영어

peru: campaign to prevent closing of amazon library · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

utafiti wa chanjo au dawa mahsusi ya kuzuia virusi unaendelea.

영어

research into a vaccine or specific antiviral drug is underway.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

dawa ya kuzuia virusi inaweza kutumiwa na watu wenye ugonjwa kali.

영어

antiviral medication may be tried in people with severe disease.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

brazili: ulimwengu wa blogu waunga mkono sheria ya kuzuia ufisadi

영어

brazil: blogosphere in support of anti-corruption bill · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mfano wa barua ya kuomba kazi ya kuzuia na kupambana na rushwa ya kingereza

영어

an example of a letter asking for a job to prevent and combat english corruption

마지막 업데이트: 2021-10-31
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ni nani aliyewapa amri ya kuzuia haya maandamano kwa ukatili na kukandamiza haki ya kuandamana?

영어

who gave the order to stop this protest violently and repress the right to protest?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

chloroquine ni dawa ya kuzuia malaria ambayo hutumika pia dhidi ya magonjwa fulani ya kingamwili kushambulia mwili kimakosa.

영어

chloroquine is an anti-malarial medication that is also used against some auto-immune diseases.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuchambua maeneo hayo ya kuunganisha hutoa mradi mzuri wa kutengeneza dawa bora ya kuzuia virusi itakayotoa protini za covid-19.

영어

analyzing those binding sites provide the reasonable project of developing effective antiviral drug against covid-19 proteins.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@commsbh: hatua hizo zinakuja kwa ajili ya kuzuia uvunjaji wa tunu za maadili na utamaduni pamoja na sababu za usalama.

영어

@commsbh: the procedures comes in order to prevent any breaching of observable moral values and traditions as well as for security considerations.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

juan arellano wa globalizado anaripoti juu ya kampeni ya kuzuia kufungwa kwa maktaba huko iquitos, peru , maktaba ambayo inatilia mkazo vitabu na masuala yanayohusu amazon.

영어

juan arellano from globalizado reports on a campaign to prevent the closing of a library in iquitos, peru that focuses on materials about the amazon.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuhitimisha, njia inayofaa zaidi ya kuzuia usambazaji wa virusi kutoka kwa wanyama ni kwa binadamu kukaa mbali na mazingira ya kiekolojia ya wahifadhi asilia wa virusi vinavyosambazwa kutoka kwa wanyama.

영어

to conclude, the most effective way to prevent viral zoonosis is for humans to stay away from the ecological niches of the natural reservoirs of the zoonotic viruses.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuonyesha mapenzi hadharanini si jambo linalokubalika nchini misri, na sheria ya kuzuia kukosa maadili hadharani inaweza kutumika kuwashitaki wale wanaothubutu kuonyesha mapenzi hadharani au kunywa pombe katika mitaa.

영어

public display of affection is widely frowned upon in egypt, as laws of public indecency could be used to prosecute those who publicly show affection or drink alcohol on the streets.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mnamo aprili, wanasayansi wa cepi waliripoti kuwa majukwaa 10 tofauti ya teknolojia yalikuwa yanafanyiwa utafiti na maendeleo mwanzoni mwa mwaka wa 2020 ili kuunda chanjo inayofaa ya kuzuia covid-19.

영어

in april, cepi scientists reported that 10 different technology platforms were under research and development during early 2020 to create an effective vaccine against covid-19.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

badala ya kutoroka eneo hilo, watu wengi wanatawanyika na kurudi eneo hilo wakiwa na vifaa bora zaidi, kama vile makoti ya mvua, vifaa vya kujikinga na moshi wa mabomu na miwani ya kukinga macho:

영어

instead of escaping from the scene, many people dispersed and returned with better equipment, such as raincoats, gas masks and goggles:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hii pia inaweza kuongoza au kuwezesha utafutaji wa hifadhi, wabebaji wa kati na wanyama wabebaji wanaosambaza sars-cov-2, kukiwa na athari ya kuzuia maenezi kupindukia siku zijazo.

영어

this might also guide or facilitate the search for the reservoir, intermediate and amplifying animal host(s) of sars-cov-2, with important implications in the prevention of future spillovers.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@ptombola: mubarak na adly walihukumiwa kwa kutozuia mauaji na kutokutoa amri ya kuzuia mauaji yaliyotokea. tofauti kubwa na isiyo ya kuvumilia.#misri #manzayamubarak

영어

@ptombola: #mubarak‬ & adly convicted for failing to prevent killings not for ordering them.big distinction & not a comforting one. ‪#egypt‬ ‪#mubaraktrial

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

pale ambapo afisa aliyeidhinishwa ana sababu ya kuamini kwamba, vifaa vyovyote vya uvuvi, chombo, samaki au bidhaa ya samaki imeachwa kwa madhumuni ya kuzuia mashtaka, atatuma ombi kortini kwa amri ya kutupa chombo cha gia, samaki au bidhaa ya uvuvi.

영어

any person, who contravenes the provisions of this act other than those with specified penalties, upon conviction shall be liable to a fine of not less than one hundred thousand shillings and not more than one million shillings or to imprisonment for a term of not less than two years and not more than five years or to both such fine and imprisonment.

마지막 업데이트: 2021-07-01
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hussein a a, alichuguza dawa kadhaa zilizoteuliwa, kisha akaboresha na kuchambua mfanano wao na mifupa na dawa za kiwango cha juu zilizoidhinishwa ili kuharakisha maendeleo ya dawa inayowezekana ya kuzuia sars-cov-2 na uchunguzi wake wa dawa kupendekezwa katika muundo wa uchunguzi wa kliniki.

영어

hussein a a, et al studied several candidate compounds which then optimized and analyzed for their skeleton similarity with the highest similar approved drugs in order to accelerate a potent anti-sars-cov-2 drug development in his preclinical study to be recommended in a clinical study design.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

48% ya kupungua kwa vipindi vya kuendesha inaweza kuhusishwa na kuosha mikono kwa sabuni.kuosha mikono kwa sabuni ni njia moja inayofaa zaidi isiyo na gharama ya juu ya kuzuia kuendesha na maambukizi ya ugonjwa wa kupumua (ari), kama mwenendo wa wa kawaidaunaofuatwa nyumbani, shuleni na katika jamii kote ulimwenguni.

영어

48% of reductions in diarrhoea episodes can be associated with hand washing with soap.hand washing with soap is the single most effective and inexpensive way to prevent diarrhea and acute respiratory infections (ari), as automatic behavior performed in homes, schools, and communities worldwide.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,788,809,474 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인