검색어: mshikamano (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mshikamano

영어

solidarity

마지막 업데이트: 2022-09-21
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuchanganya mshikamano na ukuaji

영어

combining solidarity and growth

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tuoneshe mshikamano wetu#jesuiskenyan

영어

let's show solidarity #jesuiskenyan

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ujasiriamali,utamaduni na mshikamano katika afrika

영어

entrepreneurship, culture and solidarity in africa · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mshikamano, maombi na msaada kwa familia zao.

영어

solidarty, prayers and support for their families.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

habari za ulimwengu: mikesha ya mshikamano na wanatibeti

영어

global: vigils in solidarity with tibetans · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini siwezi kufaulu kama watu wa thai hawana mshikamano.

영어

but i can't succeed if thai people are not together in harmony.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kenya: wito wa mshikamano baada ya mashambulizi ya kigaidi

영어

kenya: call for unity amid terror attacks · global voices

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa mtandao wa mshikamano wa guatemala, ziwa hilo linalia pia:

영어

for guatemala solidarity network, the lake is crying, too:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kila mara, #freealaa alama ashiria huibuka kuonyesha mshikamano.

영어

each time, the #freealaa hashtag has resurfaced to show solidarity.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ninayaomba mashirika yote ya haki za wanawake kuonyesha mshikamano wao na amira.

영어

i am asking all women's rights organizations to show their solidarity with amira.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wavenezuela jijini sydney walionyesha mshikamano wao kuunga mkono maandamano ya wanafunzi

영어

venezuelans in sydney show their solidarity with the student marches

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hali ya urafiki, umoja na mshikamano imegeuka na kuwa hali za kutiliana mashaka na kukwepana.

영어

friendship, solidarity, and conviviality have given way to suspicion and stigma.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

binafsi, nafikiri ni jambo jema na ninataka kuona mshikamano kila mahali nchini thailand.”

영어

i personally think it's good and want to see harmony in every area of thailand."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

chanzo: @‏faisalkapadiamtoto wakati wa maandamano ya mshikamano wa washia karibu na numaish chowrangi.

영어

source: @‏faisalkapadiaa child during a shia solidarity protest near numaish chowrangi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuuchunga mtandao hakuishii tu kuzuia upatikanaji wa taarifa, bali pia hudhoofisha mshikamano wa watumiaji wa intaneti katika mtandao.

영어

web censorship does not only cut access to information; it also weakens the power of internet users to form online solidarities.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

dakika chache mara baada ya kutawazwa, askofu mkuu neofit aliahidi kuombea amani na mshikamano kwa ajili ya watu wa bulgaria.

영어

minutes after he was officially enthroned, patriarch neofit vowed to pray for peace and unity of the bulgarian people.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hatua hiyo itaimarisha mshikamano miongoni mwa vijana, wanawake, makundi ya watu walio kwenye hali ngumu na vyama vya kijamii.

영어

it will strengthen further the integration of the youth, women, vulnerable groups and the civil society.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

mfumo wa zamani wa mshikamano wa maisha bado hujaporomoka; mfumo mpya wa ubinafsi wa kibepari hujamaliza kujongea ndani katika jamii zetu.

영어

the old framework of lifelong solidarity has not totally disintegrated; the new framework of capitalist individualism has not finished moving in.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baadae alijaribu kutetea kitendo chake hicho akieleza matumaini yake kwamba kupiga kwake kura hakukuvuruga "mshikamano wa mageuzi".

영어

he later justified his actions by expressing hope that his vote did not disrupt "reformist solidarity."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,749,233,588 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인