검색어: na dunia ni maskini kwa ajili yake (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

na dunia ni maskini kwa ajili yake

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

na wanieni kwa juhudi kwa ajili yake ili mpate kuokoka.

영어

seek the means of approach to him, and strive hard in his cause as much as you can. so that you may be successful.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alistahili kuona yale ambayo yeye alijitolea kwa ajili yake.

영어

he deserved to see that which he sacrificed for.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hakutaka mali yoyote kwa ajili yake mwenyewe, alitumikia nchi kipekee.

영어

he didn’t want any property for himself, he only served the country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

inaposemwa, "alimkubali," haisemwi kwa ajili yake mwenyewe tu.

영어

now it was not written for his sake alone, that it was imputed to him;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

lakini, kama itahitajika, hiyo ni ndoto ambayo nimejiandaa kupoteza maisha yangu kwa ajili yake.

영어

but, if need be, it is an ideal for which i am prepared to die.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mawasiliani pekee tuliyonayo na dunia ni kwa kupitia mikanda ya video, kanda, vitabu na majarida.

영어

the only communications we have with the outside world are videotapes, cassettes, books and magazines.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mashabiki wa ndc wanatambua mbinu zote za npp na itakuwa ni sawa na kujimaliza kwa mills kuwapuuza wale waliopigana kwa juhudi kwa ajili yake ili awe rais.

영어

ndc supporters are aware of all the above machinations of the npp and it would be suicidal for mills to ignore those who fought hard for him to become president.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hakika siku ya sabato (jumaamosi) waliwekewa wale walio khitalifiana kwa ajili yake.

영어

(the observance) of the sabbath was only sanctioned for those who disputed it.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hayo yote yanathibitisha kwamba hukumu ya mungu ni ya haki, na matokeo yake ninyi mtastahili utawala wake ambao kwa ajili yake mnateseka.

영어

which is a manifest token of the righteous judgment of god, that ye may be counted worthy of the kingdom of god, for which ye also suffer:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nanyi waume, wapendeni wake zenu kama kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.

영어

husbands, love your wives, even as christ also loved the church, and gave himself for it;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hivyo, huyo ndugu yako dhaifu ambaye kristo alikufa kwa ajili yake, atapotea kwa sababu ya ujuzi wako.

영어

and through thy knowledge shall the weak brother perish, for whom christ died?

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, vyote vipo kwa uwezo wake na kwa ajili yake. utukufu na uwe kwake hata milele! amina.

영어

for of him, and through him, and to him, are all things: to whom be glory for ever. amen.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ikiwa mimi nashiriki chakula hicho huku namshukuru mungu, kwa nini nilaumiwe kwa chakula ambacho kwa ajili yake nimemshukuru mungu?"

영어

for if i by grace be a partaker, why am i evil spoken of for that for which i give thanks?

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

maana, ninyi mnajua neema ya bwana wetu yesu kristo: yeye, ingawa alikuwa na kila kitu, alijifanya maskini kwa ajili yenu, ili kutokana na umaskini wake, awatajirishe.

영어

for ye know the grace of our lord jesus christ, that, though he was rich, yet for your sakes he became poor, that ye through his poverty might be rich.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini kwa sababu ya upendo, ni afadhali zaidi nikuombe. nafanya hivi ingawa mimi ni paulo, balozi wa kristo yesu, na sasa pia mfungwa kwa ajili yake.

영어

yet for love's sake i rather beseech thee, being such an one as paul the aged, and now also a prisoner of jesus christ.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

yesu akamaliza kwa kusema "ndivyo ilivyo kwa mtu anayejilundikia mali kwa ajili yake mwenyewe, lakini si tajiri mbele ya mungu."

영어

so is he that layeth up treasure for himself, and is not rich toward god.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kitabu kilicho teremshwa kwako - basi isiwe dhiki kifuani kwako kwa ajili yake, upate kuonya kwacho, na kiwe ni ukumbusho kwa waumini.

영어

(it is) a scripture that is revealed unto thee (muhammad) - so let there be no heaviness in thy heart therefrom - that thou mayst warn thereby, and (it is) a reminder unto believers.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama ukimhuzunisha ndugu yako kwa sababu ya chakula unachokula, basi mwenendo wako hauongozwi na mapendo. usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu ya kupotea kwa mtu mwingine ambaye kristo alikufa kwa ajili yake!

영어

but if thy brother be grieved with thy meat, now walkest thou not charitably. destroy not him with thy meat, for whom christ died.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maana kwa njia yake vitu vyote viliumbwa duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: wenye enzi, watawala, wakuu na wenye mamlaka. vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake.

영어

for by him were all things created, that are in heaven, and that are in earth, visible and invisible, whether they be thrones, or dominions, or principalities, or powers: all things were created by him, and for him:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hakika siku ya sabato (jumaamosi) waliwekewa wale walio khitalifiana kwa ajili yake. na hakika mola wako mlezi bila ya shaka atahukumu baina yao siku ya kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitalifiana.

영어

as for the sabbath, it was imposed on those who had differed about it; and your lord will tell them on the day of resurrection what it was they had differed about.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,786,482,192 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인