검색어: nafasi kubwa uongozi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

nafasi kubwa uongozi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

mwanablogu wa kenya ken opalo alibainisha kwamba taarifa zinaoonesa kwamba marais wanaojaribu kuongeza kipindi cha urais wana nafasi kubwa ya kufanikiwa:

영어

kenyan blogger ken opalo noted that the record suggests presidents trying to extend their limits are more likely to succeed:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati sudani inaelekea uchaguzi mwezi aprili, teknolojia ina uwezo wa kucheza nafasi kubwa katika kuwashirikisha raia na katika kufuatilia mchakato wa kisiasa.

영어

as sudan moves towards elections in april, technology has the potential to play a major role in both engaging citizens and in monitoring the political process.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakodo anashauri kuwa, mheshimiwa aromait asimuache rafiki yake wa kiume kwa kuwa tayari ana pesa zaidi na ana nafasi kubwa ya kuwa na rafiki wa kiume tajiri:

영어

lakodo urges hon aromait not to leave her boyfriend, now that she has got more money and has a lot of opportunities to get a rich boyfriend:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ni jambo la kawaida kwamba kwa watu waliomo katika hatari ya kupata idadi kubwa ya virusi au ambao kinga zao za mwili ni dhaifu, wana nafasi kubwa zaidi ya kuambukizwa na wengine.

영어

it is common that for people who are exposed to a large number of viruses or whose immune functions are compromised, they have higher chance to be infected than others.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

“mauaji ya kinyama yaliyofanywa dhidi ya mfanyakazi wa ndani mwenye umri wa miaka 12, anayesaidikiwa kuuwawa na mwajiri wake mwenye nafasi kubwa, yameuacha umma wa nchi hii mdomo wazi.

영어

“the brutal murder of a 12-year-old maid, believed to have been killed by her powerful employer, has stunned the country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ingawa gazeti la al – yaum, kwa muda mrefu limefurahia nafasi kubwa katika jimbo la mashariki, (ep) linabaki kuwa kati ya machapicho duni zaidi nchini.

영어

although al-yaum newspaper has enjoyed a monopoly in the eastern province (ep) for a very long time, it remains one of the weakest publications in the country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ikizingatiwa kuwa lowassa anaungwa mkono na watu wengi, hususani vijana, hii ni mara ya kwanza katika historia ya siasa ya mfumo wa vyama vingi kwa upinzani nchini tanzania kuwa na nafasi kubwa ya kushinda nafasi ya kiti cha urais.

영어

given that lowassa commands huge support, especially from young people, this is the first time during the history of multiparty politics that the country's opposition has a genuine chance of winning.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wasanii wengi wengine wamejizolea umaarufu kwenye mitaa mbalimbali: baruc, katika kazi zake, anawapa wanawake wa honduras nafasi kubwa, wakati carlos badia rbrbs anaandaa kazi zake katika maudhui tofauti tofauti.

영어

many other artists are becoming known on the streets: baruc, who pays homage to the women of honduras in his murals, and carlos badia, who creates mixed-media work.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

siku za nyuma, kampeni ya mtandaoni iliyokuwa na lengo kama hili ilipewa nafasi kubwa nchini cuba, tunahitaji gharama muafaka za upatikanaji wa mtandao wa intaneti katika simu za mkononi lakini ni kutoka florida, marekani, katika wavuticubanet.

영어

previously, a petition with a similar purpose had been promoted in cuba, we ask for reasonable prices for internet access from our mobile phones, but from florida, united states, on the website cubanet.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kusema hayo, haijawa wazi bado jinsi uchaguzi utakavyo kuwa, na kituo cha habari cha asia kimetangaza kwamba muungano wa chama tawala barisan nasional (bn) bado una nafasi kubwa ya kushinda, lakini kwa tofauti ndogo ya kura.

영어

having said that, it is unclear how the election will play out, and channel news asia has reported that the ruling barisan nasional (bn) coalition might still win, but with a smaller margin.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya wanablogu walieza kughafirika kwao na ukweli kuwa ni watu wachache mno kutoka kwenye treni walitumia vyombo vya habari vya kijamii kutoa taarifa za kile kilichokuwa kinatokea., na, inavyoonekana, kuna fafanuzi kadhaa zinazoelea ni kwa nini uanahabari wa kijamii haukuchukua nafasi kubwa katika upashaji wa habari za ajali ya “nevsky express”.

영어

some bloggers expressed their frustration with the fact that so few people from the train used social media to report about what was happening. and, apparently, there are several explanations why social media didn't play major role in the coverage of the "nevsky express" tragedy.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,795,028,661 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인