검색어: nafuraha kwa roho (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

nafuraha kwa roho

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

katika yerusalemu mmejaza mashemasi yenu kwa roho takatifu

영어

in jerusalem you filled the deciples with the holy spirit

마지막 업데이트: 2023-10-02
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mimi ninawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa roho mtakatifu."

영어

i indeed have baptized you with water: but he shall baptize you with the holy ghost.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa roho.

영어

that which is born of the flesh is flesh; and that which is born of the spirit is spirit.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hao ameandika katika nyoyo zao imani, na amewapa nguvu kwa roho itokayo kwake.

영어

for such he has written faith in their hearts, and strengthened them with a spirit from himself.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na tukampa isa mwana wa mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa roho takatifu.

영어

and to jesus, son of mary, we gave tokens, and reinforced him with divine grace.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na tukampa isa, mwana wa mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa roho takatifu.

영어

and we gave 'iesa (jesus), the son of maryam (mary), clear signs and supported him with ruh-ul-qudus [jibrael (gabriel)].

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mpende bwana mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.

영어

and thou shalt love the lord thy god with all thy heart, and with all thy soul, and with all thy mind, and with all thy strength: this is the first commandment.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hapo nilikumbuka yale maneno bwana aliyosema: yohane alibatiza kwa maji, lakini ninyi mtabatizwa kwa roho mtakatifu.

영어

then remembered i the word of the lord, how that he said, john indeed baptized with water; but ye shall be baptized with the holy ghost.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hao ameandika katika nyoyo zao imani, na amewapa nguvu kwa roho itokayo kwake. na atawaingiza katika mabustani yapitayo mito kati yake.

영어

[for] such, he has written faith into their hearts and strengthened them with a spirit from him.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa roho takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani.

영어

"o 'iesa (jesus), son of maryam (mary)!

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo uharibifu; lakini akipanda katika roho, atavuna kutoka kwa roho uzima wa milele.

영어

for he that soweth to his flesh shall of the flesh reap corruption; but he that soweth to the spirit shall of the spirit reap life everlasting.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika wao wapo ambao mwenyezi mungu alisema nao, na wengine akawapandisha vyeo. na tukampa isa mwana wa mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa roho takatifu.

영어

we preferred some to others; to some of them allah spoke (directly); others he raised to degrees (of honour); and to 'iesa (jesus), the son of maryam (mary), we gave clear proofs and evidences, and supported him with ruh-ul-qudus [jibrael (gabriel)].

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maana, ingawa mimi niko mbali nanyi kwa mwili, lakini niko pamoja nanyi kwa roho, na ninafurahi kuona uthabiti kamili mnaosimama nao pamoja katika imani yenu kwa kristo.

영어

for though i be absent in the flesh, yet am i with you in the spirit, joying and beholding your order, and the stedfastness of your faith in christ.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maana sisi, tukiwa wayahudi au watu wa mataifa mengine, watumwa au watu huru, sote tumebatizwa kwa roho mmoja katika mwili huo mmoja; na sote tukanyweshwa roho huyo mmoja.

영어

for by one spirit are we all baptized into one body, whether we be jews or gentiles, whether we be bond or free; and have been all made to drink into one spirit.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hapo yohane akawaambia wote, "mimi ninawabatiza kwa maji, lakini anakuja mwenye uwezo zaidi kuliko mimi ambaye sistahili hata kumfungulia kamba za viatu vyake. yeye atawabatizeni kwa roho mtakatifu na kwa moto.

영어

john answered, saying unto them all, i indeed baptize you with water; but one mightier than i cometh, the latchet of whose shoes i am not worthy to unloose: he shall baptize you with the holy ghost and with fire:

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

narudia: najua kwamba mtu huyo alinyakuliwa mpaka peponi. (lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; mungu ajua.)

영어

and i knew such a man, (whether in the body, or out of the body, i cannot tell: god knoweth;)

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

huwakuti watu wanao muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho kuwa wanawapenda wanao mpinga mwenyezi mungu na mtume wake, hata wakiwa ni baba zao, au watoto wao, au ndugu zao, au jamaa zao. hao ameandika katika nyoyo zao imani, na amewapa nguvu kwa roho itokayo kwake.

영어

you shall not find a people who believe in allah and the latter day befriending those who act in opposition to allah and his apostle, even though they were their (own) fathers, or their sons, or their brothers, or their kinsfolk; these are they into whose hearts he has impressed faith, and whom he has strengthened with an inspiration from him: and he will cause them to enter gardens beneath which rivers flow, abiding therein; allah is well-pleased with them and they are well-pleased with him these are allah's party: now surely the party of allah are the successful ones.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.

인적 기여로
7,794,123,901 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인