전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
naomba hela
마지막 업데이트: 2023-10-17
사용 빈도: 2
품질:
hela ya matumizi
마지막 업데이트: 2023-09-27
사용 빈도: 1
품질:
ninashida na hela ya kusuka
darling i have a problem please help me
마지막 업데이트: 2022-09-11
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
heri ya sikukuu ya noeli kusherehekea kuzaliwa kwa kristo!
merry christmas!
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
i shilingi ngap hela ya tanzania 50.000 dola ya malekani
tanzanian shillings 50,000 us dollars
마지막 업데이트: 2021-01-28
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
heri ya sikukuu ya kuzaliwa kristo. #betlehemu #palestina, alitwiti @psypherize
merry christmas. #bethlehem #palestine, tweets @psypherize
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
sikukuu ya wayahudi ya pasaka ilikuwa karibu, na watu wengi walikwenda yerusalemu ili wajitakase kabla ya sikukuu hiyo.
and the jews' passover was nigh at hand: and many went out of the country up to jerusalem before the passover, to purify themselves.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
baada ya sikukuu, walianza safari ya kurudi makwao, lakini yesu alibaki yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari.
and when they had fulfilled the days, as they returned, the child jesus tarried behind in jerusalem; and joseph and his mother knew not of it.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
sisi, baada ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, tulipanda meli kutoka filipi na baada ya siku tatu tukawafikia kule troa. huko tulikaa kwa muda wa juma moja.
and we sailed away from philippi after the days of unleavened bread, and came unto them to troas in five days; where we abode seven days.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea yesu wakamwuliza, "unataka tukuandalie wapi chakula cha pasaka?"
now the first day of the feast of unleavened bread the disciples came to jesus, saying unto him, where wilt thou that we prepare for thee to eat the passover?
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
baada ya kutiwa nguvuni, petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. herode alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya pasaka.
and when he had apprehended him, he put him in prison, and delivered him to four quaternions of soldiers to keep him; intending after easter to bring him forth to the people.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "wataka tukuandalie wapi karamu ya pasaka?"
and the first day of unleavened bread, when they killed the passover, his disciples said unto him, where wilt thou that we go and prepare that thou mayest eat the passover?
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
ilikuwa kabla ya sikukuu ya pasaka. yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa baba ilikuwa imefika. alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda mpaka mwisho!
now before the feast of the passover, when jesus knew that his hour was come that he should depart out of this world unto the father, having loved his own which were in the world, he loved them unto the end.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인: